Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI KUWAPA WAFUNGWA HAKI YA KUPIGA KURA

Na Lorietha Laurence-Maelezo,DodomaSerikali imeweka mikakati ya kuhakikisha kuwa wafungwa wote wanaotumikia kifungo chini ya miezi sita na mahabusu wanawapatia haki yao ya msingi ya kupiga kura.Akijibu swali la Mbunge wa Nyamagana, Ezekia Wenje aliyehoji kuhusu wafungwa kutoruhusiwa kupiga kura,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Uratibu na Bunge, Jenister Mhagama alisema kwa mujibu wa ibara ya 5(2) ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wafungwa wote wenye vifungo chini ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sheria kuwanyima haki ya kupiga kura wafungwa

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imesema wafungwa hawatapiga kura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 kwa sababu sheria inayoweza kuwapa fursa hiyo haijafanyiwa marekebisho.

 

10 years ago

Mwananchi

BVR isiwe sababu ya kukosa haki ya kupiga kura

Ni wazi kwamba mpango wa uandikishaji wapigakura kwenye Daftari la Kudumu kwa kutumia mfumo wa kielektroniki wa BVR umegubikwa na malalamiko kutoka kila eneo ambako uandikishwaji umefanywa.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: SERIKALI INATAFUTA SULUHISHO LA DIASPORA KUPIGA KURA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda (Pichani)amesema Serikali bado inatafuta suluhisho la kudumu litakalowezesha Watanzania waishio ughaibuni (Diaspora) waweze kupiga kura wakiwa huko waliko.
Ametoa kauli hiyo juzi usiku (Jumatano, Agosti 19, 2015), wakati akijibu maswali ya Watanzania waishio Uganda katika kikao kilichofanyika hoteli ya Serena jijini Kampala.
“Serikali tulitamani sana mchakato huu umekamilika mwaka huu ili Watanzania waishio nje ya nchi waweze pia kushiriki uchaguzi mkuu lakini...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtaalamu anadi haki za kuwapa nondo jina

Mtaalamu wa wadudu aliyegundua aina mpya ya nondo ameweka tangazo kwenye eBay akiuza haki za kuwapa nondo hao jina.

 

9 years ago

Mwananchi

Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema wapiga kura waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura katika uchaguzi utakaofanyika nchini kote siku ya Jumapili.

 

10 years ago

Habarileo

Wafungwa wadaiwa kunyimwa haki

WAFUNGWA wengi hawapewi haki zao za msingi miongoni mwake, ikiwa ni kukaa muda mrefu magerezani na mahabusu bila kuonana na ndugu zao.

 

10 years ago

Habarileo

Wataka marekebisho ya sheria kuwapa haki abiria wa mabasi kudai fidia

Katibu Mtendaji wa Sumatra CCC, Oscar Kikoyo SERIKALI imeshauriwa kufanya marekebisho ya sheria za usalama barabarani ziwezeshe kutoa haki kwa mtumiaji wa mabasi anapopata ajali, alipwe bima kama ilivyo kwa watumiaji wa ndege na meli.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri- Magereza zingatieni haki za wafungwa

LICHA ya magereza nchini kufurika wafungwa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe amelitaka jeshi la Magereza nchini kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia maadili na haki za binadamu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Somalia inakiuka haki za wafungwa - HRW

Human Rights Watch imeishutumu Somalia kwa kuwanyima wafungwa haki za uakilishi na kuwashitaki raia chini ya mahakama za kijeshi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani