Serikali: Shule hazitafungwa kwa kukosa chakula
Na Debora Sanja, Dodoma
SERIKALI imesema hakuna shule ya sekondari ya bweni nchini itakayofungwa kutokana na ukosefu wa chakula.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Kassim Majaliwa, alipojibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Bulaya (CCM).
Katika swali lake, Bulaya alitaka kujua lini Serikali italipa madeni ya wazabuni wanaosambaza chakula katika shule na taasisi za Serikali,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Shule Za Sekondari za Serikali Zafungwa Kwa Kukosa Chakula

Shule mbalimbali za sekondari za bweni zinazomilikiwa na Serikali zimefungwa kutokana na kukosa chakula.
Uchunguzi umebaini takribani kwenye mikoa yote kuna shule zimefungwa na nyingine ziko hatarini kufungwa kwa kukosa chakula.Mkoani Dodoma Shule ya Sekondari Mpwapwa iliyopo katika Wilaya ya Mpwapwa ilitakiwa kufunguliwa tangu Aprili 8, lakini imeshindikana kutokana na ukosefu wa chakula.
Mkuu wa shule hiyo, Nelson Mbilinyi, alisema walifunga shule kwa ajili ya likizo fupi, lakini hadi sasa...
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
WANAFUNZI WENYE ALBINISM: Wakatisha masomo baada ya shule yao kukosa chakula Mkoani Singida!
Katibu Mkuu wa chama cha Albino Tanzania (TAS) Ziada Nsembo akizungumza kwenye semina ya uhabarisho juu ya majukumu ya waandishi wa habari kuibua na kuandika habari zinazohusu watu wenya ulemavu wa aina mbalimbali.
Na Nathaniel Limu
[SINGIDA] Jumla ya wanafunzi 37 wenye ulemavu wa ngozi (Albino) wa shule ya msingi mchanganyiko Izenga wilaya ya Iramba mkoani Singida,wamelazimika kukatisha masomo yao kwa muda usiojulikana kutokana na shule hiyo kukosa chakula. Imedaiwa wanafunzi hao wa...
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Shule yafungwa kwa kukosa choo
SHULE ya Msingi Bugarama ambayo ipo katika eneo linalozunguka Mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na Kampuni ya African Barrick Gold Mines Ltd imefungwa baada ya kukosa vyoo. Mkaguzi Mkuu...
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Shule yafungwa kwa kukosa wanafunzi
11 years ago
Mwananchi25 Aug
Shule Mara yafungwa kwa kukosa choo
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Kufungwa shule kwa kukosa choo ni aibu
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Sudan Kusini kukosa chakula
11 years ago
MichuziSERIKALI YA JAPAN YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAKIMBIZI NCHINI
10 years ago
StarTV15 Apr
Serikali yatenga tani 13,630 kwa ajili ya chakula cha njaa.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Serikali imesema inaendelea na zoezi la usambazaji wa chakula cha njaa kwenye maeneo yaliyotathminiwa kuwa na upungufu wa chakula ambapo jumla ya tani 13,630 zimetengwa kwa ajili ya zoezi hilo na tayari tani 7,560 zimekwishasambazwa kwa walengwa.
Miongoni mwa mikoa hiyo ni pamoja na Arusha, Kilimanjaro, Simiyu, Manyara, Tabora, Mara, Kagera, Lindi, Mtwara, Morogoro, Singida na Katavi.
Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa 2013/14 ulifikia...