Serikali yatenga tani 13,630 kwa ajili ya chakula cha njaa.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Serikali imesema inaendelea na zoezi la usambazaji wa chakula cha njaa kwenye maeneo yaliyotathminiwa kuwa na upungufu wa chakula ambapo jumla ya tani 13,630 zimetengwa kwa ajili ya zoezi hilo na tayari tani 7,560 zimekwishasambazwa kwa walengwa.
Miongoni mwa mikoa hiyo ni pamoja na Arusha, Kilimanjaro, Simiyu, Manyara, Tabora, Mara, Kagera, Lindi, Mtwara, Morogoro, Singida na Katavi.
Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa 2013/14 ulifikia...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi28 Mar
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Dkt. Bilal ashiriki hafla ya chakula cha jioni cha hisani kuchangia mfuko wa kampeni wa jitolee kwa ajili ya kinamama wa Afrika, Jijini Dar
Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jana usiku Oktoba 9, 2014 jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile, Freddie Manento, wakati wa hafla ya Chakula...
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI CHA HISANI KUCHANGIA MFUKO WA KAMPENI WA JITOLEE KWA AJILI YA KINAMAMA WA AFRIKA, JIJINI DAR
5 years ago
MichuziFaidika yatenga Sh 40 Bilioni kwa ajili ya kukopesha Watanzania
Dar es Salaam. Taasisi ya huduma za kibenki ya Faidika imetenga zaidi ya Sh 40 bilioni kwa ajili ya kuwakopesha watanzania wenye ajira kupitia programu ya ‘Mshahara wako, mkopo wako,’
Mkurugenzi Mkuu wa Faidika , Bw. Baraka Munisi alisema kuwa mikopo hiyo inatolewa ndani ya saa 24 endapo mkopaji atatimiza masharti yaliyowekwa.
Bw. Munisi alisema kuwa wameamua kutenga kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kuboresha maisha ya Watanzania...
9 years ago
MichuziVOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA , AMBAYE YUPO WASHINGTON DC KWA AJILI YA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.
10 years ago
Uhuru Newspaper21 Apr
Tani 10,000 za chakula kutolewa kwa wahitaji
NA RACHEL KYALA
SERIKALI itagawa tani 10,000 za chakula kuwasaidia watu ambao wanakabiliwa na njaa kutokana na uhaba wa chakula katika baadhi ya maeneo nchini.
Hatua hiyo imetokana na zaidi ya watu 400,000 kukabiliwa na njaa wakiwemo 42, 414 ambao hawana uwezo kabisa wa kununua chakula na wametengewa kupatiwa tani 1,000 bure.
Hata hivyo, tani zingine 9,000 zinatarajiwa kuuza kwa sh. 50 kwa kilo kwa watu 381,722, ambao kwa kiasi wana uwezo wa kumudu kununua chakula kwa bei hiyo.
Mkurugenzi...
5 years ago
MichuziUFARANSA YATENGA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1.10 KWA AJILI YA KUHAMASISHA WATANZANIA KUJUA LUGHA YA KIFARANSA, AGUSIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50...
Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii
NCHI ya Ufaransa imesema kwamba imetenga zaidi ya shilingi Bilioni 1.10 kwa ajili ya kutoa mafunzo ya lugha ya Kifaransa kwa walimu na maprofesa mbalimbali nchini Tanzania kwa ajili ya kuhakikisha lugha hiyo inazungumzwa na Watanzania wengi.
Kwa mujibu wa Ufaransa ni kwamba mkakati wa nchi hiyo ni kuhakikisha lugha ya Kifaransa inaendelea kuwa na watu wengi zaidi ambao watakuwa wanaizungumza kwa ufasaha na kuitumia kama sehemu muhimu ya Mawasiliano...
10 years ago
MichuziBODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA UNGA WA NGANO TANI 70 AMBAO HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Serikali yatenga hekta 1,363 kwa aajili ya ujenzi wa viwanda Tanga