Tani 10,000 za chakula kutolewa kwa wahitaji
NA RACHEL KYALA
SERIKALI itagawa tani 10,000 za chakula kuwasaidia watu ambao wanakabiliwa na njaa kutokana na uhaba wa chakula katika baadhi ya maeneo nchini.
Hatua hiyo imetokana na zaidi ya watu 400,000 kukabiliwa na njaa wakiwemo 42, 414 ambao hawana uwezo kabisa wa kununua chakula na wametengewa kupatiwa tani 1,000 bure.
Hata hivyo, tani zingine 9,000 zinatarajiwa kuuza kwa sh. 50 kwa kilo kwa watu 381,722, ambao kwa kiasi wana uwezo wa kumudu kununua chakula kwa bei hiyo.
Mkurugenzi...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV15 Apr
Serikali yatenga tani 13,630 kwa ajili ya chakula cha njaa.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Serikali imesema inaendelea na zoezi la usambazaji wa chakula cha njaa kwenye maeneo yaliyotathminiwa kuwa na upungufu wa chakula ambapo jumla ya tani 13,630 zimetengwa kwa ajili ya zoezi hilo na tayari tani 7,560 zimekwishasambazwa kwa walengwa.
Miongoni mwa mikoa hiyo ni pamoja na Arusha, Kilimanjaro, Simiyu, Manyara, Tabora, Mara, Kagera, Lindi, Mtwara, Morogoro, Singida na Katavi.
Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa 2013/14 ulifikia...
9 years ago
Habarileo09 Dec
Magereza wahitaji bil.14/- za chakula
SERIKALI imetakiwa kuwekeza Sh bilioni 13.6 kusaidia Jeshi la Magereza kujitosheleza katika chakula katika mpango waliouandaa wa kilimo cha kibiashara.
10 years ago
BBCSwahili17 Mar
Kimbunga Pam:Vanuatu wahitaji chakula
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Le4opxu2f8A/VO9hGF25IbI/AAAAAAAHGGk/Svmle4dN2DM/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA UNGA WA NGANO TANI 70 AMBAO HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU
![](http://1.bp.blogspot.com/-Le4opxu2f8A/VO9hGF25IbI/AAAAAAAHGGk/Svmle4dN2DM/s1600/unnamed%2B(24).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HaLBiDzQ2TE/VO9hF-EioPI/AAAAAAAHGGg/mjT3-jx1SWs/s1600/unnamed%2B(25).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-aWGHt4Gk1_Y/VO9hFtQ6voI/AAAAAAAHGGc/4dUTVvzYbk0/s1600/unnamed%2B(26).jpg)
10 years ago
Dewji Blog10 Dec
Singida wana ziada ya chakula tani 520,370
Katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan, akitoa taarifa yake ya utekelezaji wa malengo ya kilimo kwa msimu wa 2013/2014 na malengo ya kilimo kwa msimu wa 2014/2015 mbele ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa (RCC).
Na Nathaniel Limu, Singida
MKOA wa Singida,umefanikiwa kuvuna nafaka ya chakula tani 913,143 kwa msimu wa 2013/2014, na hivyo kuwa na ziada ya chakula tani 520,370.
Hayo yamesemwa na Katibu tawaka mkoa wa Singida,Liana Hassan,wakati akitoa taarifa yake ya utekelezaji wa...
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Singida ina ziada ya tani 520,370 ya chakula
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mamilioni ya tani za mabaki ya chakula hutupwa kila mwaka duniani
10 years ago
Habarileo06 Feb
Tani 200,000 za silaha zateketezwa
TANI 200,000 za silaha haramu zilizokuwa zimezagaa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) zimeteketezwa.
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
NFRA yaombwa kununu tani 55,000
MKOA wa Tanga umeiomba Wakala wa Taifa wa Chakula (NFRA), kununua zaidi ya tani 55,000 za mahindi baada ya kukosa soko. Kauli hilo ilitolewa na Katibu Tawala wa mkoa huo, Salum...