Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Singida ina ziada ya tani 520,370 ya chakula

Mkoa wa Singida umefanikiwa kuvuna mazao ya chakula tani 913,143 katika msimu wa 2013/2014, hivyo kuwa na ziada ya chakula ya tani 520,370.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Singida wana ziada ya chakula tani 520,370

unnamed (14)

Katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan, akitoa taarifa yake ya utekelezaji wa malengo ya kilimo kwa msimu wa 2013/2014 na malengo ya kilimo kwa msimu wa 2014/2015 mbele ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa (RCC).

Na Nathaniel Limu, Singida

MKOA wa Singida,umefanikiwa kuvuna nafaka ya chakula tani 913,143 kwa msimu wa 2013/2014, na hivyo kuwa na ziada ya chakula tani 520,370.

Hayo yamesemwa na Katibu tawaka mkoa wa Singida,Liana Hassan,wakati akitoa taarifa yake ya utekelezaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri - Ziada ya chakula kuongezeka

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imesema ziada ya chakula kwa msimu wa mwaka huu inatarajiwa kuongezeka zaidi kutokana na matumizi ya zana bora za kilimo.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Ukawa ina kazi ya ziada Iringa Mjini, Kalenga na Isimani

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Mkoa wa Iringa una jumla ya wakazi 941,238 na ongezeko la watu ni asilimia 1.1 kwa mwaka.

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima wapata ziada ya chakula asilimia 125

HALI ya chakula nchini kwa mwaka huu ni ya kuridhisha ambapo takwimu zinaashiria kuwepo kwa ongezeko kubwa la uzalishaji, ikiwa ni pamoja na ziada ya asilimia 125 katika mikoa 18, imeelezwa.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Tani 10,000 za chakula kutolewa kwa wahitaji


NA RACHEL KYALA
SERIKALI itagawa tani 10,000 za chakula kuwasaidia watu ambao wanakabiliwa na njaa kutokana na uhaba wa chakula katika baadhi ya maeneo nchini.
Hatua hiyo imetokana na zaidi ya watu 400,000 kukabiliwa na njaa wakiwemo 42, 414 ambao hawana uwezo kabisa wa kununua chakula na wametengewa kupatiwa tani 1,000 bure.
Hata hivyo, tani zingine 9,000 zinatarajiwa kuuza kwa sh. 50 kwa kilo kwa watu 381,722, ambao kwa kiasi wana uwezo wa kumudu kununua chakula kwa bei hiyo.
Mkurugenzi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mamilioni ya tani za mabaki ya chakula hutupwa kila mwaka duniani

Kuna watu takribani milioni 820 duniani hawana chakula cha kutosha

 

10 years ago

StarTV

Serikali yatenga tani 13,630 kwa ajili ya chakula cha njaa.

Na Immaculate Kilulya,

Dar es Salaam.

 

Serikali imesema inaendelea na zoezi la usambazaji wa chakula cha njaa kwenye maeneo yaliyotathminiwa kuwa na upungufu wa chakula ambapo jumla ya tani 13,630 zimetengwa kwa ajili ya zoezi hilo na tayari tani 7,560 zimekwishasambazwa kwa walengwa.

 

Miongoni mwa mikoa hiyo ni pamoja na Arusha, Kilimanjaro, Simiyu, Manyara, Tabora, Mara, Kagera, Lindi, Mtwara, Morogoro, Singida na Katavi.

 

Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa 2013/14 ulifikia...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA UNGA WA NGANO TANI 70 AMBAO HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU

  Magari yakipakia Unga wa ngano mbovu katika godauni lililokuwa la Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) Mnazi mmoja, unga huo haufai kwa matumizi ya binadamu. Unga wa ngano mbovu tani 70 uliokamatwa ukiwa sokoni na mafisa wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ukimwangwa eneo la Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini ''B'' Unguja tayari kawa kuangamizwa. Kijiko likichukua mchanga kuchanganya na unga ulioharibika kwa lengo la kuangamiza katika kijiji cha Zingwezingwe Mkoa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA TANI 8.5 ZA DAWA NA VYAKULA.

Baadh ya Maboksi ya dawa mbalimbali ambazo zimemaliza muda wake na hatari kwa matumizi ya Binaadamu, yakiangamizwa na katika viwanja vya kibeli nje ya mji wa Zanzibar Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiteremsha baadhi ya maboksi ya dawa mbalimbali, vipodozi, mchele, na tende zilizoharibika kwaajili ya kuviangamizwa.Mafisa wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakisimamia zoezi la uteketezaji wa dawa, vipodozi, mchele, na tende ambavyo vitu vyote hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani