Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima wapata ziada ya chakula asilimia 125

HALI ya chakula nchini kwa mwaka huu ni ya kuridhisha ambapo takwimu zinaashiria kuwepo kwa ongezeko kubwa la uzalishaji, ikiwa ni pamoja na ziada ya asilimia 125 katika mikoa 18, imeelezwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waziri - Ziada ya chakula kuongezeka

WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imesema ziada ya chakula kwa msimu wa mwaka huu inatarajiwa kuongezeka zaidi kutokana na matumizi ya zana bora za kilimo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Singida wana ziada ya chakula tani 520,370

unnamed (14)

Katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan, akitoa taarifa yake ya utekelezaji wa malengo ya kilimo kwa msimu wa 2013/2014 na malengo ya kilimo kwa msimu wa 2014/2015 mbele ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa (RCC).

Na Nathaniel Limu, Singida

MKOA wa Singida,umefanikiwa kuvuna nafaka ya chakula tani 913,143 kwa msimu wa 2013/2014, na hivyo kuwa na ziada ya chakula tani 520,370.

Hayo yamesemwa na Katibu tawaka mkoa wa Singida,Liana Hassan,wakati akitoa taarifa yake ya utekelezaji wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Singida ina ziada ya tani 520,370 ya chakula

Mkoa wa Singida umefanikiwa kuvuna mazao ya chakula tani 913,143 katika msimu wa 2013/2014, hivyo kuwa na ziada ya chakula ya tani 520,370.

 

10 years ago

Habarileo

Arusha pamoja na kuwapo chakula, udumavu asilimia 44

WAKATI kiwango cha udumavu wa watoto chini ya miaka mitano nchini kikifikia asilimia 42 kitaifa, hali ni mbaya zaidi katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini ukiwemo Mkoa wa Arusha ambao una asilimia 44 ya watoto chini ya miaka mitano wanaokabiliwa na tatizo hilo.

 

9 years ago

Mwananchi

Wakulima Karatu wapata mwekezaji

Wakulima wilayani Karatu Mkoa wa Arusha, wanatarajia kuongeza uzalishaji wa mazao baada ya taasisi ya kimataifa ya zana za kilimo ya nchini Belarus, kutangaza kuwekeza katika wilaya hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

WAKULIMA KONDOA, MBARALI WAPATA MATREKA

 Kampuni ya Kariati Matracktor Diwani wa Kata ya Kwadelo, Kondoa mkoani Dodoma, Omary Kariati, leo imekabidhi matrekta manne kwa wakulima wa wilaya ya Kondoa (matrekta matatu) na Mbarali (trekta moja), katika hafla iliyofanyika leo asubuhi, kwenye Ofisi za Kariati Matrektor, Kinondoni, Dar es Salaam. Zinazofuatia ni picha za hafla hiyo. Picha/Maelezo na Bashir Nkoromo Mkurugenzi Mtendaji wa Kariati Matractor, Omary Kariati akimkabidhi fungua za trekta Mwakilishi wa wkulima wa Kondoa, Karoli...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtandao wa wakulima wapata viongozi wapya

Mjumbe wa lililokuwa Bunge la Katiba, Veronica Sophu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata).

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima waonywa uuzaji holela chakula

SERIKALI wilayani Tunduru mkoani Ruvuma imesema haiko tayari kuhangaika kutafuta chakula kwa ajili ya wananchi watakaokumbwa na njaa baada ya kuuza chakula walichovuna katika msimu wa kilimo uliopita kwa tamaa ya kupata fedha.

 

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA SHAYIRI MONDULI JUU WALIOFADHILIWA NA TBL WAPATA MAVUNO MENGI

 Mkulima (wa pili kulia) wa Shayiri katika mashamba ya Monduli Juu, wilayani Monduli mkoani Arusha akiendelea na uvunaji wa Shayiri kwa kutumia mashine ya kisasa ambapo wameweza kuvuna hadi gunia 1o kwa hekari moja. Wakulima wa Monduli Juu wameanza kuvuna mazao yao, baada ya kuwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) iliyowapatia mafunzo, mikopo ya mbolea na dawa. Pia shayiri hiyo hununuliwa na TBL kwa ajili ya kutengenezea kimea katika kiwanda kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani