Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tani 200,000 za silaha zateketezwa

 Katibu Mkuu wa EAC, Richard SeziberaTANI 200,000 za silaha haramu zilizokuwa zimezagaa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) zimeteketezwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Licha ya kupata mwekezaji; Usafirishaji mizigo waporomoka kutoka tani 1.4 milioni hadi 200,000

Baada ya Sekta Binafsi kuendesha sekta ya reli pasi na mafanikio ya kuridhisha, mwaka 2011, Serikali iliamua kutengua rasmi mkataba wake na Kampuni ya Reli ya India ya Rites.

 

11 years ago

KwanzaJamii

KIWANDA CHAHITAJI TANI 200 ZA NYANYA KWA SIKU

Soko la nyanya lisilo rasmi kando ya Mto Mlowa unaotenganisha vijiji vya Uhominyi na Iyayi katika Kata ya Image wilayani Kilolo. (PICHA NA DANIEL MBEGA) Na Daniel Mbega, Iringa KILIO cha wakulima wa nyanya mkoani Iringa cha ukosefu wa masoko ya zao hili sasa kinaonekana kupata ufumbuzi kufuatia ujenzi wa kiwanda cha kusindika bidhaa za mbogamboga kukaribia kukamilika, KwanzaJamii.com inaripoti kwa uhakika. Kiwanda hicho kipya ambacho kipo chini ya kampuni ya Darsh Industries Limited...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigoma yazalisha tani 5,000 za tumbaku

MKOA wa Kigoma unazalisha tumbaku zaidi ya tani 5,000 kwa mwaka. Naibu waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Adam Malima alitoa kauli hiyo bungeni mjini hapa jana akijibu swali la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

NFRA yaombwa kununu tani 55,000

MKOA wa Tanga umeiomba Wakala wa Taifa wa Chakula (NFRA), kununua zaidi ya tani 55,000 za mahindi baada ya kukosa soko. Kauli hilo ilitolewa na Katibu Tawala wa mkoa huo, Salum...

 

10 years ago

Mwananchi

Tani 290,000 za sukari huagizwa nje

Serikali hulazimika kuagiza tani za sukari 290,000 kila mwaka ili kufidia pengo la uzalishaji wa sukari nchini, imeelezwa.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Tani 10,000 za chakula kutolewa kwa wahitaji


NA RACHEL KYALA
SERIKALI itagawa tani 10,000 za chakula kuwasaidia watu ambao wanakabiliwa na njaa kutokana na uhaba wa chakula katika baadhi ya maeneo nchini.
Hatua hiyo imetokana na zaidi ya watu 400,000 kukabiliwa na njaa wakiwemo 42, 414 ambao hawana uwezo kabisa wa kununua chakula na wametengewa kupatiwa tani 1,000 bure.
Hata hivyo, tani zingine 9,000 zinatarajiwa kuuza kwa sh. 50 kwa kilo kwa watu 381,722, ambao kwa kiasi wana uwezo wa kumudu kununua chakula kwa bei hiyo.
Mkurugenzi...

 

10 years ago

Mwananchi

NFRA kuuza tani 75,000 mahindi kuepusha kuharibika

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA), Charles Walwa amesema wakala huyo atauza tani 75,000 za mahindi zilizonunuliwa mwaka jana na kununua tani nyingine 200,000 katika msimu huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi

Serikali ipo katika hatua za mwisho za makubaliano ya kuuza tani 50,000 za awali za mahindi nchini Kenya.

 

9 years ago

Mtanzania

Kassim: Sh 200,000 ziliniondoa bandarini

Kassim MgangaNA CHRISTOPHER MSEKENA

NYOTA wa Bongo Fleva, Kassim Mganga, amesema kabla hajaanza kufanya muziki alikuwa mfanyakazi wa kupokea na kutoa mizigo kwenye bandari ya Dar es Salaam, lakini kipaji chake cha muziki kilimwachisha kazi hiyo kutokana na ujira mkubwa aliokuwa akipata kupitia muziki wake.

Kassim alisema kwa mwezi alikuwa akilipwa Sh 200,000 kwa kazi ya bandarini lakini katika onyesho lake moja la muziki alipata Sh 500,000 ndipo akaamua kuacha kazi ya bandari na kuendelea na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani