Serikali, TPSF watoa changamoto kwa taasisi za fedha nchini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu (katikati) akiingia katika kongamano la majadiliano kuhusu changamoto za kufikika kwa huduma za fedha kwa wajasiriamali wadogo na wa kati Tanzania jijini Dar es Salaam Jumanne wiki hii. Wengine ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC), Bw. Raymond Mbilinyi (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Bw. Godfrey Simbeye (Kulia). Kongamano hilo lilitayarishwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Em7E6qBDNio/VY0csDkUXCI/AAAAAAAHkLY/USHfJ0pGEJk/s72-c/IMG_3103.jpg)
SOLUTION BLOCKS YAANDAA MIKUTANO ILI KUKUTANISHA NGO’S,TAASISI ZA KIRAIA NA TAASISI ZA SERIKALI KWA KILA MWENZI.
KAMPUNI ya Solution BLOCKS ikishirikiana na kampuni ya Anglo Gold Ashanti waandaa mkutano wa Alhamisi ya kila mwezi ili kushirikisha taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za kiserikali kuzungumzia kuchangia katika maendeleo katika jamii.
Hayo yamesemwa na Makamo wa Rais wa Sustainability Aglo Gold Ashanti, Simon Shayo katika ufunguzi wa mkutano ambao umejulikana kwa jina la THURSDAY TALK uliofanyika katika hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-r-9FBaj8wFQ/VebGSF6iX9I/AAAAAAAH1wg/uZj9wrqb8Xc/s72-c/download.png)
BENKI YA EXIM YASAINI MAKUBALIANO NA TAASISI YA FEDHA YA UJERUMANI ILI KUINUA BIASHARA NCHINI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-r-9FBaj8wFQ/VebGSF6iX9I/AAAAAAAH1wg/uZj9wrqb8Xc/s320/download.png)
Kwa mujibu wa Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya hiyo, Bw. Selemani Ponda fedha hizo zilizo katika mfumo wa mkopo mkubwa, zitatolewa kwa awamu mbili kwa kuzingatia maendeleo ya ukuaji...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gEucMqUfljA/XneLi2rTtDI/AAAAAAALku4/homRKs0S4lUIW29vkTC-zg3E0oGfnsofQCLcBGAsYHQ/s72-c/9c6e60b0-d397-4065-b733-ea2efc936198.jpg)
WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA TAASISI YA SEKTA BINAFSI-TPSF
Na. WAMJW-DSM
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu leo amekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na kujadili namna ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini.
Katika kikao hicho, Waziri Ummy Mwalimu ameshukuru baraza hilo kwa kushirikiana na Sekta ya afya katika mapambano ya ugonjwa huo.
”Mchango wa sekta binafsi mkiwamo nyie wafanyabiashara ni muhimu kwani mtaleta manufaa makubwa katika mapambano haya,” amesema Waziri Ummy...
9 years ago
MichuziGEPF WATOA MSAADA KWA TAASISI YA ALLIANCE FOR SOCIAL ALLEVATION (ASE)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-dsVyWYlG9R8/XoGicFkqWBI/AAAAAAAC2DE/sj5eipa5_nYUfRVWOAuQp2OhBVBK5oLUwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
ALIYEKUWA MWENYEKITI WA TAASISI YA SEKTA BINAFSI TANZANIA (TPSF) AFARIKI DUNIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-dsVyWYlG9R8/XoGicFkqWBI/AAAAAAAC2DE/sj5eipa5_nYUfRVWOAuQp2OhBVBK5oLUwCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Oktoba 31, 2019, Salum Shamte pamoja na wenzake akiwemo Juma Shamte ambaye ndiye Mkurugenzi wa sasa wa Katani Limited na mjumbe wa bodi, Fatma Diwani walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-dXUO6Zp0mSQ/U1DSecgETKI/AAAAAAAFblo/oVYLozq6Qdo/s72-c/unnamedb.jpg)
JUMUIYA YA MUZDALIFAT NA TAASISI YA I,H,H YA UTURUKI WATOA SADAKA KWA WATOTO MAYATIMA ZANZIBAR.
![](http://2.bp.blogspot.com/-dXUO6Zp0mSQ/U1DSecgETKI/AAAAAAAFblo/oVYLozq6Qdo/s1600/unnamedb.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-LXmbjIZLEdI/U1DSeaKtN7I/AAAAAAAFblk/wTfTZOFvetc/s1600/unnamedc.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-bPN35r4VChQ/U1DSgmSmbwI/AAAAAAAFbmE/ZUqPgbPwDXg/s1600/unnamedv.jpg)
10 years ago
Vijimambo04 Mar
GEPF WATOA SEMINA KWA MAAFISA UTUMISHI WA TAASISI MBALIMBALI JIJINI MBEYA
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Changamoto za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao- 2
10 years ago
GPLGEPF WATOA SEMINA KWA MAAFISA UTUMISHI WA TAASISI MBALIMBALI JIJINI MBEYA