Serikali ya China kuendesha mafunzo kwa wana michezo 30 wa Tanzania
Serikali ya China imekubali kuendesha mafunzo kwa wana michezo 30 wa Tanzania wanaotegemewa kuiwakilisha Tanzania kwenye michezo ya Nchi za Jumuiya ya Madola Julai 2014. Vilevile Tanzania na China zimekubaliana kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia unaoendelea kuimarika kila mwaka hususan kwa sasa nchi hizo zinaposherehekea miaka 50 ya ushirikiano.
Makubaliano hayo yalifanyika wakati Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na China walipokutana mjini Beijing wiki iliyopita...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBODI YA MICHEZO YA BAHATI NASIBU YAKABIDHI LESENI KWA KAMPUNI YA MURHANDZIWA KUENDESHA MICHEZO HIYO
11 years ago
Michuziwasanii kutoka Marekani wawasili nchini kuendesha mafunzo kwa wasanii wa tanzania
10 years ago
MichuziWaziri Mukangara apokea msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Serikali ya China
10 years ago
GPLBASATA KUENDESHA MAFUNZO YA SANAA KWA WATOTO
10 years ago
MichuziBASATA KUENDESHA PROGRAM YA MAFUNZO YA SANAA KWA WATOTO WAPATAO 215 KUTOKA WILAYA YA TEMEKE MKOA WA DAR ES SALAAM
Kwa mujibu wa Sera ya Taifa ya Utamaduni ya mwaka 1997 sura ya 9.6.16 Baraza linaelekezwa kushirikiana na wadau katika kuendesha matukio mbalimbali ya sanaa kama programu hii ya watoto.
Programu hii ya Sanaa kwa watoto ambayo...
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
NIT kuendesha mafunzo ya urubani, uhandishi wa ndege
“NILIAMUA kuweka mkakati wa miaka mitano ambao kwa kushirikiana na wenzangu tuliamua kuutekeleza kwa nguvu moja ili chuo chetu kiwe kitovu cha ubora hapa nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla.”...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU TAMISEMI AWAASA WANASIASA,WAGOMBEA NA WASHABIKI KUENDESHA KAMPENI KWA AMANI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini akiongea na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Desemba 14 mwaka huu ambapo amesema...
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Serikali imefanikiwa kuboresha utendaji kazi wa utumishi wa umma kwa kuendesha mikutano kupitia njia ya video (TEHAMA)
Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma HAB Mkwizu wa kwanza kushoto mstari wa mbele akiongoza kikao kazi kupitia njia ya video kwa makatibu tawala wa mikoa na wasaidizi wao, wakurugenzi wa mamlaka za serikali za mitaa na wakuu wa idara za utawala na rasilimali watu katika mamlaka za serikali za mitaa kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Kagera, Tanga,Tabora,Manyara, Morogoro, Rukwa na Katavi kilichofanyika jana kwenye ukumbi wa Wakala wa Mafunzo kwa Mtandao iliyopo...
10 years ago
MichuziWizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo yahitimisha mafunzo kwa kutembelea miradi mbalimbali wilaya ya Nzega