Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaagiza Dk. Mwaka achunguzwe

3Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

SERIKALI imemwagiza Mkurugenzi wa Baraza la Tiba Asili Tanzania kumfanyia uchunguzi tabibu Dk. Juma Mwaka ndani ya wiki moja ili kujua iwapo amekidhi vigezo vya kisheria.

Agizo hilo limetolewa Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangwala baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha Fore Plan Clinic kinachosimamiwa na Dk. Mwaka.

Alisema Dk. Mwaka amekuwa akitoa huduma ya matibabu kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Serikali yaagiza mafunzo kwa watangazaji

Dk Fenela Mukangara.SERIKALI imeviagiza vyombo vyote vya utangazaji hapa nchini kuhakikisha wafanyakazi wao wanapatiwa mafunzo na kupewa ujuzi wa kufanya kazi kwa uadilifu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Serikali yaagiza shule zifungwe Kenya

Serikali nchini Kenya imeagiza shule zote nchini humo, za umma na za kibinafsi, zifungwe kuanzia Jumatatu huku mgomo wa walimu ukiendelea.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yaagiza deni la Sh700ml lilipwe haraka

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi ameuagiza uongozi wa kiwanda cha CETAWICO kuhakikisha unalipa deni la Sh700milioni unalodaiwa na wakulima wa zabibu ndani ya mwezi huu wa sita kabla Serikali haijachukua hatua nyingine.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yaagiza Anuani za makazi mpaka maeneo yasiyopimwa

SERIKALI imeagiza Mpango wa utoaji wa vibao vya anuani za makazi na postikodi kuhakikisha unatoa majina kwa mitaa yote, ikiwamo maeneo yasiyopimwa pamoja na barabara zote nchini kuoneshwa wazi kwa kuandikwa.

 

10 years ago

Habarileo

CCM yaagiza madiwani wake kujikita serikali za mitaa

Abdallah BulemboCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka madiwani wake wote kushiriki kikamilifu katika kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku kikitishia kuwafukuza uanachama endapo watakiuka agizo hilo.

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yaagiza Chuo cha Diplomasia kuongeza tafiti, machapisho

SERIKALI imekiagiza Chuocha Diplomasia kujikita kuongeza tafiti pamoja na machapisho mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha wahitimu wa chuo hicho kutoa mchango wao katika Taifa hususani wakati huu wa utekelezaji wa sera ya Diplomasia ya Uchumi.
Maagizo hayo yametolewaleo jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano waAfrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) wakati alipotembelea chuo hicho kuongea na wahadhiri, wafanyakazi pamoja na wanafunzi.
Dkt. Ndumbaro amesema...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanasheria wataka Jecha achunguzwe

Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) kimetaka iundwe tume huru ya kuchunguza jinsi mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Salim Jecha Salum alivyofikia uamuzi wa kufuta matokeo na akithibitika kuwa alishinikizwa, afukuzwe kazi.

 

10 years ago

Mtanzania

Kafulila: Tibaijuka achunguzwe mabilioni ya ITPL

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Tibaijuka

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Tibaijuka

PATRICIA KIMELEMETA NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), ametaka viongozi wa Serikali, Bunge na Mahakama wanaotajwa kulipwa fedha za IPTL zilizokuwa kwenye Akaunti ya Escrow akiwamo Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Tibaijuka wahojiwe.

Alisema kuwa Profesa Tibaijuka ni mmoja wa viongozi wa Serikali ambaye amekiri kupewa fedha hizo, hivyo ni vyema vyombo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani