Serikali yaagiza mafunzo kwa watangazaji
SERIKALI imeviagiza vyombo vyote vya utangazaji hapa nchini kuhakikisha wafanyakazi wao wanapatiwa mafunzo na kupewa ujuzi wa kufanya kazi kwa uadilifu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Serikali yaagiza Dk. Mwaka achunguzwe
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
SERIKALI imemwagiza Mkurugenzi wa Baraza la Tiba Asili Tanzania kumfanyia uchunguzi tabibu Dk. Juma Mwaka ndani ya wiki moja ili kujua iwapo amekidhi vigezo vya kisheria.
Agizo hilo limetolewa Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangwala baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha Fore Plan Clinic kinachosimamiwa na Dk. Mwaka.
Alisema Dk. Mwaka amekuwa akitoa huduma ya matibabu kwa...
9 years ago
BBCSwahili18 Sep
Serikali yaagiza shule zifungwe Kenya
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Serikali yaagiza deni la Sh700ml lilipwe haraka
10 years ago
Habarileo08 Dec
CCM yaagiza madiwani wake kujikita serikali za mitaa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka madiwani wake wote kushiriki kikamilifu katika kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku kikitishia kuwafukuza uanachama endapo watakiuka agizo hilo.
11 years ago
Habarileo15 Feb
Serikali yaagiza Anuani za makazi mpaka maeneo yasiyopimwa
SERIKALI imeagiza Mpango wa utoaji wa vibao vya anuani za makazi na postikodi kuhakikisha unatoa majina kwa mitaa yote, ikiwamo maeneo yasiyopimwa pamoja na barabara zote nchini kuoneshwa wazi kwa kuandikwa.
5 years ago
MichuziSerikali yaagiza Chuo cha Diplomasia kuongeza tafiti, machapisho
Maagizo hayo yametolewaleo jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano waAfrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) wakati alipotembelea chuo hicho kuongea na wahadhiri, wafanyakazi pamoja na wanafunzi.
Dkt. Ndumbaro amesema...
11 years ago
Michuzi05 Mar
Serikali ya China kuendesha mafunzo kwa wana michezo 30 wa Tanzania
Makubaliano hayo yalifanyika wakati Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na China walipokutana mjini Beijing wiki iliyopita...
10 years ago
Dewji Blog08 May
UNESCO, Serikali watia saini mradi wa mafunzo ya Tehama kwa walimu
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (wa pili kulia), Balozi wa China nchini, Mh. LU Youqing (kushoto), Afisa utawala na fedha wa UNESCO, Spencer Bokosha (kulia), Ofisa anayeshughulikia masuala ya Elimu Kitaifa wa UNESCO, Tumsifu Mmar pamoja na mkalimani wa Balozi wa China wakifurahi jambo wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome (hayupo pichani) akiwasili kwenye...
9 years ago
Dewji Blog11 Sep
UNESCO wakabidhi kitabu cha mafunzo ya Tehama kwa Serikali nchini
Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa wadau wa sekta ya elimu wakati wa hafla ya kukabidhi kitabu cha mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu nchini kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Katikati ni mgeni rasmi Kamishina wa Elimu, Profesa Eustella Bhalalusesa aliyemwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof. Sifuni Mchome....