Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yagoma kuahirisha kura za maoni

Waziri Mkuu, Mizengo PindaSERIKALI imesema haitaahirisha kufanyika kwa kura ya maoni Aprili mwakani kwa Katiba mpya Inayopendekezwa ili fedha zilizopangwa kwa kazi hiyo zitumike kuwapa mikopo wanafunzi 8,000 wa vyuo vya elimu ya juu, walioshindwa kupewa mikopo hiyo kwa ukosefu wa fedha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda: Nec inaweza kuahirisha Kura ya Maoni

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) itaona muda wa uandikishaji wananchi katika Daftari la Wapigakura kwa ajili ya Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa hautoshi, atawasilisha suala hilo bungeni ili uongezwe.

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali sikivu isikie hili la Kura ya Maoni

Kama kuna muujiza ambao Watanzania wanasubiri kwa hamu kuona ukitokea ni kupigia Kura ya Maoni kuridhia au kukaa Katiba Inayopendekezwa ifikapo Aprili 30.

 

10 years ago

Tanzania Daima

KURA YA MAONI: Wanaoipinga wapatiwe fedha za serikali

MCHAKATO  wa kuandika Katiba mpya umetawaliwa na vimbwanga tangu kuanza kwake hadi hapa tulipofikia.  Karibu kila hatua inakuwa na matukio ambayo baadhi yake yanatishia kuufanya mchakato huo usiweze kuipatia nchi...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuboresha daftari la wapiga kura kuelekea maoni

Mathias ChikaweSERIKALI imesema itaboresha daftari la kudumu la wapiga kura kabla ya kura ya maoni kuhusu Rasimu ya Katiba mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka ametahadharisha kuwa wananchi wanaweza kuikataa Katiba kwenye kura ya maoni kama maoni yao yatawekwa kando.

 

9 years ago

BBCSwahili

Maoni ya Watanzania kuhusu kura za maoni

Watanzania wamegawanyika kuhusu kura za maoni ambazo zinafanywa nchini humo huku uchaguzi mkuu ukikaribia.

 

10 years ago

Michuzi

wapiga kura wampongeza jerry silaa kwa kushinda katika kura za maoni jimbo la ukonga

 Wananchi wa Jimbo la Ukonga wakiwa nyumbani kwa mgombea ubunge wa jimbo hilo aliyeibuka kidedea, Jerry Silaa.Mgombea Jerry Silaa akishukuru wapiga kura baada ya kuibuka kidedea kwa kupata kura 10,382 huku mshindani wake PATEL Ramesh akipata kura 7355. Mgombea ubunge huyo aliwashukuru wananchi na wanaCCM waliokwenda nyumbani kumpongeza na kuwapongeza wagombea wenzake wote,na kuongeza kuwa wiki moja waliyokuwa pamoja amejifunza mengi, anaamini watashirikiana kufanikisha Ushindi wa CCM October...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizi wa kura hadi kwenye kura ya maoni!

WAKATI Bunge Maalumu la Katiba linaendelea, kuna wanaosema kwamba hata kura ya maoni haiwezi kusaidia sana maana hapa Tanzania kuna hofu ya wizi wa kura. Tume ya uchaguzi tuliyonayo sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani