Pinda: Nec inaweza kuahirisha Kura ya Maoni
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) itaona muda wa uandikishaji wananchi katika Daftari la Wapigakura kwa ajili ya Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa hautoshi, atawasilisha suala hilo bungeni ili uongezwe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo07 Nov
Serikali yagoma kuahirisha kura za maoni
SERIKALI imesema haitaahirisha kufanyika kwa kura ya maoni Aprili mwakani kwa Katiba mpya Inayopendekezwa ili fedha zilizopangwa kwa kazi hiyo zitumike kuwapa mikopo wanafunzi 8,000 wa vyuo vya elimu ya juu, walioshindwa kupewa mikopo hiyo kwa ukosefu wa fedha.
10 years ago
Mwananchi24 Apr
NEC yatangaza zabuni Kura ya Maoni
11 years ago
Tanzania Daima25 Oct
NEC yaongeza utata kura ya maoni 2015
UWEZEKANO wa kufanyika kwa kura ya maoni Aprili 30 mwakani, kama alivyoahidi Rais Jakaya Kikwete ni mdogo, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuthibitisha kwamba itakamilisha kazi ya...
10 years ago
Habarileo28 Mar
Kura ya maoni ipo palepale, yasema NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imesisitiza kwamba tarehe ya kufanyika kwa kura ya maoni kuhusu Katiba Inayopendekezwa ipo pale pale na hakuna mabadiliko yoyote kama inavyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari.
11 years ago
Mwananchi10 Oct
NEC: Hakuna kura ya maoni bila daftari jipya
10 years ago
GPL
NEC: KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA PENDEKEZI KUTOFANYIKA APRILI 30
10 years ago
Michuzi
News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto 6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri 385Brian Baraka 263

10 years ago
Michuzi07 Feb
HOTUBA YA MHE. WAZIRI MKUU PINDA YA KUAHIRISHA MKUTANO WA 18 WA BUNGE
I: UTANGULIZI
(a) Masuala ya jumla
Mheshimiwa Spika,1. Tumekuwepo hapa kwa takriban siku 12 katika shughuli za Mkutano wa 18 wa Bunge lako Tukufu. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
2. ...
10 years ago
Habarileo25 Mar
Pinda : Kura ya Maoni iko pale pale
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesisitiza kuwa kutokana na uandikishaji katika daftari la kudumu mkoani Njombe kumalizika kwa mafanikio, lengo la kura ya maoni kufanyika Aprili 30, mwaka huu, liko palepale.