Serikali yaja na mbinu mpya kukabili makali ya Umeme
Na Mwandishi wetu
Serikali imesema inakusudia kuachana na mfumo wa matumizi ya nishati ya umeme wa maji na badala yake itaanza kutumia nishati jadidifu inayozalisha umeme kwa kutumia njia ya gesi asilia ,jua na upepo.
Waziri wa Mishati na madini Prof Sospeter Muhongo (pichani) amesema hatua hiyo ni mpango wa serikali kukabiliana na tatizo la kukatika umeme, ambapo mfumo huo pia utatumia vyanzo vya mawimbi ya bahari,makaa ya mawe na mabaki ya mimea kuzalishia umeme.
Profesa Muhongo amesema...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Nov
MSF:Mbinu mpya zahitajika kukabili Ebola
10 years ago
Mwananchi10 Feb
MAONI: Tutafute mbinu mpya za kukabili majanga
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Namna ya kukabili maumivu makali ya uti wa mgongo
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Maandamano yaja kupinga bei ya umeme
RAIS Jakaya Kikwete ameshauriwa katika mchakato wa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri kumtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kujieleza kwake na umma ili kuwezesha hatua stahiki kuchukuliwa...
10 years ago
StarTV10 Feb
Tanzania yahitaji sera, mikakati madhubuti katika kukabili tatizo la umeme.
Na Immaculate Kilulya,
Dar Es Salaam.
Shirika la Utunzaji wa Mazingira Duniani WWF limesema kuna haja kwa Tanzania kuwa na sera na mikakati ya kufikisha nishati ya umeme kwa asilimia 35 ya watanzania ambao bado kufikiwa na nishati hiyo bila kuathiri mazingira.
WWF imesema uharibifu wa mazingira umechangia kwa kiasi kikukbwa mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo mafuriko na kwamba bado jitihada za ziada zinahitajika za kukabiliana na mabadiliko hayo.
Asilimia 65 ya watanzania...
10 years ago
Habarileo08 Apr
Tanesco yaja na Luku mpya
Shirika la Umeme nchini (TANESCO) linatarajia kubadilisha mfumo wa huduma ya Lipia Umeme Kadri Utumiavyo (Luku) na kuuweka wa kisasa ili kuwaondolea usumbufu wateja wake.
10 years ago
Habarileo30 Sep
Teknolojia mpya ujenzi wa ghorofa yaja
WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) una mpango wa kutumia teknolojia mpya ya kujenga nyumba ya ghorofa kwa siku moja lengo likiwa ni kuisaidia Serikali katika kupunguza uhitaji wa nyumba pamoja na kupunguza gharama za ujenzi.
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Serikali yaja na mapya katika elimu
10 years ago
Habarileo13 Aug
Teknolojia mpya ya mimba za ng’ombe yaja nchini
JITIHADA za Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya mifugo na ufugaji nchini, zimepata msukumo mpya kufuatia uamuzi wa kujengwa kwa maabara ya kisasa kabisa ya matumizi ya teknolojia ya vinasaba ya kuboresha mbegu za mimba za ng’ombe inayojulikana kama embryo transfer.