Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yapiga marufuku ajira za watoto kwenye migodi

Na Greyson  Mwase, Tarime
Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia madini Stephen Masele amekemea vikali tabia ya wamiliki wa migodi  kuajiri watoto wenye umri wa chini ya miaka 18  kwani inarudisha maendeleo ya watoto hao na kwa jamii kwa ujumla inayowategemea
Waziri Masele ameyasema hayo kwenye ufunguzi wa semina iliyoshirikisha wachimbaji wadogo, madiwani, viongozi wa vijiji, wilaya, madiwani pamoja na viongozi wa vyama  vya siasa inayoendelea katika jimbo la Mwibara wilaya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UPIGAJI RAMLI CHONGANISHI

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Godwin Mollel (Kushotoa) akiwa na Mwenyekiti wa wahitimu hao Dk. John Lupimo wakati wa hafla ya wahitimu wa mafunzo ya uboreshaji wa utoaji huduma za tiba asili iliyofanyika Jijini Dodoma, jana.

DODOMA, Tanzania
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amepiga marufuku tabia za Waganga wa tiba asili kupiga ramli chonganishi kwa lengo la kuwasaidia wananchi jambo ambalo ni kinyume...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yapiga marufuku uuzaji matunda yaliyokatwa

Serikali imetoa tahadhari ya ugonjwa wa kipindupindu kuendelea kuwa tishio kwa baadhi ya mikoa nchini tangu ugonjwa huo uliporipotiwa Agosti 15 mwaka huu.

Tahadhari hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu alipozungumza Jijini Dar es salaam.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amesema kusambaa kwa ugonjwa wa Kipindupindu nchini kunaendelea kwa kasi tangu iliporipotiwa kwa mara ya kwanza mwaka huu Agosti 15,...

 

10 years ago

Dewji Blog

CHAWAMAMU yapiga marufuku waganga wa tiba mbadala kuwafanyia tohara watoto wachanga

SAM_2223

Afisa tarafa wa Kirumi, Bw. Juma Salumu Sima (kushoto), Katibu mkuu wa CHAWAMAMU Mkoa wa Singida,Dk.Tano Mika Likapakapa (katikati) na Afisa mtendaji wa kata ya Mwangeza (kulia).

Na. Jumbe Ismailly, Mkalama      

CHAMA cha Watafiti wa Maleria Sugu, Ukimwi na Mazingira Tanzania (CHAWAMAMU) Mkoani Singida kimepiga marufuku waganga wa tiba mbadala wasiokuwa na ujuzi  wa kuwafanyia tohara pamoja na kuwakata kilimi watoto wachanga, kuacha mara moja kuendelea na kazi hiyo.

Katibu mkuu wa...

 

9 years ago

Global Publishers

Serikali yapiga marufuku matangazo yanayohusu Tiba asili

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Waziri Wa Afya Hamis Kigwangala.
Taarifa kutoka Wizara ya Afya kuanzia tarehe 24 Desemba 2015 imepiga marufuku matangazo yote yanayohusu tiba asili na tiba mbadala kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Wale wote wenye vibali wanatakiwa kuviwasilisha vibali na matangazo yao kwenye Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala ili vifanyiwe mapitio. Utoaji wa elimu ya afya kwa umma unaofanywa na...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU WAGANGA WA JADI WANAOPIGA RAMLI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati meza) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Serikali kuunda timu maalumu ya kutembelea maeneo yaliyosugu kwa utekaji na mauaji ya albino nchini ambapo timu hiyo inatarajiwa kuanza kazi wiki mbili zijazo kwa kuanza na mikoa sugu ya matukio hayo ambayo ni Mwanza, Geita, Simiyu, Tabora na Shinyanga na baadaye itafuata mikoa mingine. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu na kushoto ni Mwenyekiti wa...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MWANANCHI KUMSAJILIA LAINI YA SIMU MTU MWINGINE

*Usimsajilie mtu mwingine yeyote hata awe mkeo au mumeoNa Prisca Ulomi, WUUM, IringaSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga marufuku kwa mwananchi yeyote kumsajilia laini ya simu ya mkononi kwa alama ya vidole kwa kutumia kitambulisho cha taifa cha NIDA mtu mwingine kwa kuwa kufanya hivyo ni kosa la kisheriaHayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Iringa wakati akiwa kwenye mikutano ya hadhara kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA BARUA PEPE ZA KAWAIDA KATIKA MAWASILIANO YAKE

Waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (kushoto) akipokelewa na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Bakari Jabiri leo alipofanya ziara ya kikazi katika Ofisi za Wakala hiyo jijini Dar es salaam. Waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (kulia) akitembelea maeneo mbalimbali ya Ofisi za Wakala ya Serikali Mtandao leo. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Bakari Jabiri leo alipofanya ziara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani