Serikali yashauriwa kubadili mitaala ya elimu
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeshauriwa kubadili mitaala ya sekta hiyo kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa elimu ili kuleta mabadiliko makubwa ya kimaendeleo katika taifa na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Serikali yashauriwa kuwekeza elimu ya awali
9 years ago
StarTV06 Oct
Serikali yashauriwa kuongeza uwekezaji katika elimu
Rais wa Chama cha Waalimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba amesema Siku ya waalimu duniani imeadhimishwa huku Tanzania kukiwa na malalamiko mengi katika sekta ya elimu kutokana na uwekezaji mdogo.
Amesema ili kuweza kufikia malengo endelevu ya maendeleo ni lazima nchi ifanye uwekezaji wa kutosha kwa kuongeza fedhaa kwa ajili ya kuondoa malalamiko hayo.
Rais wa Chama cha Walimu Gratian Mukoba amesema ualimu ni taaluma muhimu na ni lazima ithaminiwe na kuheshimiwa kwa kuwa hatma ya taifa la...
10 years ago
Dewji Blog10 Mar
UNESCO, TIE na OUT wafadhili kozi kuboresha mitaala ya elimu Afrika
![Ofisa mwakilishi wa Naibu Waziri wa Elimu, Anne Kilango Malecela akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo ya uboreshaji mitaala.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0338.jpg)
Ofisa mwakilishi wa Naibu Waziri wa Elimu, Anne Kilango Malecela akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo ya uboreshaji mitaala.
![Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Profesa Tolly Mbwette akizungumza katika hafla maalumu ya uzinduzi wa awamu ya nne ya programu hiyo jana Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0289.jpg)
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Profesa Tolly Mbwette akizungumza katika hafla maalumu ya uzinduzi wa awamu ya nne ya programu hiyo jana Dar es Salaam.
![Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues aizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo jana jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0262.jpg)
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo...
9 years ago
StarTV19 Nov
Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari
Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.
Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.
Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...
9 years ago
VijimamboTEA YAIPA TET MKOPO WA SHILINGI BILIONI TATU KUANDAA MITAALA NA KUCHAPISHA VITABU VYA ELIMU YA MSINGI
10 years ago
GPLVETA YATAKIWA KUSIKILIZA MAONI YA WADAU ILI KUJUA MAHITAJI YAO SANJARI NA KUBADILISHA MITAALA YA ELIMU
10 years ago
MichuziVETA WATAKIWA KUHAKIKISHA WANASIKILIZA MAONI YA WADAU WAO ILIKUJUA MAHITAJI YAO SANJARI NA KUBADILISHA MITAALA YA ELIMU
10 years ago
Dewji Blog01 Jun
Wizara ya Elimu yashauriwa kutatua changamoto za walimu nchini
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2015/2016 bungeni mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii Bi. Margaret Sitta akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo bungeni mjini Dodoma.
Mhadhiri Msaidizi Idara ya Mimea kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam Bw. Heriel...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ndavXo5s-c4/XslozA4ZT3I/AAAAAAALrZE/3BBPTzDrLgEL9neHTexyMFnokfdhisjCwCLcBGAsYHQ/s72-c/1d9640d1-7112-4acf-8524-015a39cd884c.jpg)
SERIKALI YAWAKUTANISHA WAKUU WA VYUO KUJADILI NAMNA YA KUMALIZA MITAALA
Akifungua kikao hicho Katibu Mkuu wa Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo amesema pamoja na mambo mengine watakubaliana namna bora ya kuhakikisha vyuo vinafidia muda wa masomo uliopotea na kukamilisha mihula bila kuathiri...