UNESCO, TIE na OUT wafadhili kozi kuboresha mitaala ya elimu Afrika
Ofisa mwakilishi wa Naibu Waziri wa Elimu, Anne Kilango Malecela akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo ya uboreshaji mitaala.
![Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Profesa Tolly Mbwette akizungumza katika hafla maalumu ya uzinduzi wa awamu ya nne ya programu hiyo jana Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0289.jpg)
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Profesa Tolly Mbwette akizungumza katika hafla maalumu ya uzinduzi wa awamu ya nne ya programu hiyo jana Dar es Salaam.
![Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues aizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo jana jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/IMG_0262.jpg)
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Serikali yashauriwa kubadili mitaala ya elimu
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imeshauriwa kubadili mitaala ya sekta hiyo kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali wa elimu ili kuleta mabadiliko makubwa ya kimaendeleo katika taifa na...
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?
9 years ago
StarTV19 Nov
Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari
Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.
Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.
Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...
9 years ago
MichuziUNESCO KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA IDARA YA MAMBO YA KALE KATIKA KUBORESHA HIFADHI NA KUVUTIA WATALII NCHINI
10 years ago
GPLVETA YATAKIWA KUSIKILIZA MAONI YA WADAU ILI KUJUA MAHITAJI YAO SANJARI NA KUBADILISHA MITAALA YA ELIMU
10 years ago
MichuziVETA WATAKIWA KUHAKIKISHA WANASIKILIZA MAONI YA WADAU WAO ILIKUJUA MAHITAJI YAO SANJARI NA KUBADILISHA MITAALA YA ELIMU
9 years ago
VijimamboTEA YAIPA TET MKOPO WA SHILINGI BILIONI TATU KUANDAA MITAALA NA KUCHAPISHA VITABU VYA ELIMU YA MSINGI
9 years ago
MichuziTEA YATOA MKOPO WA SH. BILIONI TATU KWA TAASISI YA ELIMU TANZANIA(TIE)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-8XONTZxJWEQ/VNCem4aqFjI/AAAAAAACzPc/s7XW7Kq_12c/s72-c/unnamed.jpg)
Huawei na Umoja wa Afrika zasaini makubaliano kuboresha miundombinu ya teknohama Afrika
![](http://2.bp.blogspot.com/-8XONTZxJWEQ/VNCem4aqFjI/AAAAAAACzPc/s7XW7Kq_12c/s1600/unnamed.jpg)