Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yataja kinachokwamisha mawasiliano vijijini

SERIKALI imesema changamoto kubwa inayozuia kufika kwa mawasiliano vijijini ni kukosekana kwa utayari kwa kampuni za simu za mikononi kutoa huduma hizo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaelekeza mawasiliano vijijini

SERIKALI imezitaka mamlaka binafsi za mawasiliano nchini kuongeza ushirikiano na ushiriki katika kutoa huduma mbalimbali za mawasiliano, hasa vijijini na maeneo yasiyokuwa na mvuto wa kibiashara ili kuongeza chachu ya...

 

10 years ago

GPL

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) YASAINI MIKATABA KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (Katikati) akiwa na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  Prof. John Nkoma, CEO wa TTCL Dr. Kamugisha Kazaura wakiweka sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea… ...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini

Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa (kulia) muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya utiaji saini mikataba ya usambazaji huduma za mawasiliano ya simu za mkononi maeneo ya vijijini kati ya makampuni ya simu na Mfuko wa Wamasiliano kwa Wote - (UCSAF) jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasilano wa Airtel Beatrice Bandawe. Mkuu wa Idara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TTCL yaahidi ufanisi mawasiliano vijijini

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imeahidi kutekeleza kwa ufanisi na kwa wakati zabuni iliyoshinda ya mradi wa kutoa huduma za mawasiliano vijijini. Ahadi hiyo ilitolewa na Ofisa Mkuu wa Masoko...

 

11 years ago

Michuzi

TTCL yaahidi makubwa mradi wa mawasiliano vijijini

Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) imeahidi kutekeleza kwa ufanisi na kwa wakati zabuni iliyoshinda ya mradi wa kutoa huduma za mawasiliano vijijini. Ahadi hiyo imetolewa na Afisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni hiyo, Bw. Peter Ngota alipokuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kampuni hiyo kutiliana saini na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.  TTCL inatekeleza mradi huo wenye thamani ya Tshs 9.8 bilioni baada ya kushinda zabuni hiyo....

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom kujikita zaidi kuboresha huduma za mawasiliano vijijini

Baada ya huduma za Kilimo Klub,M-Pesa na M-Pawa zinazotolewa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania kuonyesha mafanikio makubwa ya kutumia mapinduzi ya teknolojia ya simu za mkononi kuleta mabadiliko kwenye jamii,hivi sasa kampuni imejipanga kupeleka na kuboresha huduma za mawasiliano vijijini ili ziweze kuwafikia watanzania wengi.Hayo  yamebainishwa  na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Kampuni hiyo,Rosalynn Mworia kufuatia kampuni hiyo pamoja na makampuni mengine...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI VIJIJINI KUNUFAIKA NA MAWASILIANO YA SIMU KUTOKA TTCL

Kampuni ya Simu Tanzania(TTCL) kuwapatia wananchi waishio vijijini zaidi ya Laki Moja mawasiliano ya Simu ifikapo mwaka 2016. Jumla USD 3.3 (sawa na Bilioni 6.8 Tsh) zitatumika kwa ajili ya kupeleka mawasiliano kwenye kata 41 zenye vijiji 41 kupitia ruzuku kutoka kwa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote(UCSAF) ikiwa ni awamu ya 2B.
Kata hizo ni pamoja; Oljoro –Arusha, Olmotonyi- Arusha, Olorieni – Arusha, Chikola- Dodoma, Mpalanga- Dodoma, Farkwa-Dodoma, Iduo-Dodoma, Masagalu-Tanga,...

 

10 years ago

GPL

VODACOM KUJIKITA ZAIDI KUBORESHA HUDUMA ZA MAWASILIANO VIJIJINI‏

Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa  (wa pili kutoka kulia) akisaini mkataba wa miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi katika hafla iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani