SERIKALI YATOA MIL 240 KWA AJILI YA MAABARA ZA SEKONDARI CHALINZE
……………………………………………………………………………………
NA MWAMVUA MWINYI, Chalinze
SERIKALI Kuu imetoa kiasi cha sh.milioni 240 ,kwa ajili ya kumalizia maabara nane katika za sekondari kwenye halmashauri ya Chalinze, wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani .
Fedha hizo zitatokana na bajeti ya mwaka wa 2020/2021, zinalenga kujenga vyumba hivyo katika shule 9 za sekondari, ambapo kila chumba kimoja kitatumia sh.milioni 30.
Kaimu Ofisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Chalinze, Irene Joseph aliiambia Kamati ya Siasa ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziDCB yatoa msaada wa vifaa vya maabara kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinyerezi
10 years ago
Dewji Blog25 Nov
ALAF yatoa msaada wa mabati kwa ajili ya ujenzi wa maabara za shule za sekondari wilaya ya Mbeya
Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King, akitoa shukrani kwa kampuni ya ALAF kwa kujitolea mabati kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule za sekondari za Wilaya ya Mbeya.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege...
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABATI YA ALAF YATOA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA ZA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MBEYA
Meneja wa Kampuni ya ALAF Tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kabla ya kumkabidhi msaada wa mabati 384 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa maabara. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk. Norman Sigallah King na Meneja wa ALAF tawi la Mbeya, Greyson Mwakasege wakikabidhiana...
11 years ago
Michuzi11 Jul
WAZIRI NYALANDU AMWAGA MSAADA WA MILIONI 10 WA MABATI 420 SHULE ZA SEKONDARI KWA AJILI YA MAABARA
Na Hillary Shoo, SINGIDA.Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mkoani Singida, Lazaro Nyalandu ametoa mchango wa mabati 420 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 kwa shule mbili za sekondari za Kata za Mtinko na Kinyeto.Mchango huo ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi wa Jimbo hilo kuchangia katika ujenzi wa maabara mbalimbali kwenye shule za sekondari za Jimbo...
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AMKABIDHI MKUU WA WILAYA NACHINGWEA MABATI 2000 KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI
5 years ago
CCM BlogNMB YATOA MCHANGO WA SH. MIL 100 KWA SERIKALI KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA
Waziri Mkuu - Kassim Majaliwa (wa tatu kushoto) akipokea hundi ya Sh....
10 years ago
MichuziSERIKALI YA JAPAN YATOA MSAADA WA SHILINGI MILIONI 165 KWA AJILI YA MASHINE YA KUKAMULIA MAFUTA YA ALIZETI, CHATO MKOANI GEITA
11 years ago
Habarileo31 Jan
Wakulima waidai SMZ mil.240/-
Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeombwa kuipatia fedha Wizara ya Kilimo na Maliasili kwa ajili ya kulipa deni wanazodaiwa na wakulima wa mpunga.
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Milioni 40 zachangwa kwa ujenzi wa maabara ya sekondari
Mwenyekiti wa klabu ya Gymkhana Dioniz Malinzi akipiga mpira wakati wa ufunguzi wa mchezo wa gofu kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maktaba na vifaa vya kompyuta vya Shule ya Sekondari ya Mtakuja.
Na Beatrice Lyimo- Maelezo
Bahari Rotary Klabu ikishirikiana na HANSA GROUP wamefanya harambee ya tano kwa ajili ya kuchangia Shule ya Sekondari Mtakuja iliyopo Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Harambee hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Gymkhana kwa kuwa shindanisha washiriki kucheza mchezo wa...