Serikali yazuia uzalishaji holela wa vitabu
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesikia kilio cha muda mrefu juu ya uzalishaji wa vitabu usiokidhi viwango kwa kufuta mfumo huria wa uzalishaji na usambazaji wa vitabu shuleni na vyuo vya ualimu badala yake jukumu hilo sasa litafanywa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET).
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
‘Serikali yazuia halmashauri’
SERIKALI kupitia wakala wake wa kununua na kuhifadhi mazao ya chakula nchini (SGR), imezitikisa halmashauri nne za Mkoa wa Rukwa baada ya kushindwa kuzilipa zaidi ya sh bilioni 2 za...
10 years ago
StarTV14 Jan
Serikali yazuia shughuli zinazohusiana na ramli.
Na Lilian Mtono,
Dar es Salaam.
Serikali imezuia shughuli zote zinazohusiana na upigaji ramli ikiwataka wapiga ramli wote kuacha shughuli hiyo mara moja vinginevyo watakaobainika watachukuliwa hatua za kisheria.
Katazo hili linakuja ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kukabiliana na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi Albino ambayo yamedumu kwa muda mrefu sasa hapa nchini.
Waziri wa Mambo ya ndani Mathias Chikawe amesema si kwamba Serikali inaamini uchawi la hasha. Ila kuwepo...
11 years ago
Habarileo26 May
Serikali yazuia Iringa kujenga stendi Igumbilo
SERIKALI imefanya uamuzi mgumu kwa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuzuia mpango wake wa kujenga stendi mpya ya mabasi ya mikoani katika eneo linalolalamikiwa na wadau wa mazingira la Igumbilo, mjini hapa.
10 years ago
Vijimambo
SERIKALI YA MAREKANI YAZUIA TANZANIA MSAADA WA TRILIONI MOJA

Taarifa iliyotolewa jana na MCC ilieleza kuwa mkutano wa robo ya mwaka wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo linalomilikiwa na serikali ya Marekani kwa ajili ya kutoa misaada kwa nchi zinazoendelea ulijadili pendekezo la mkataba mpya na serikali ya Tanzania wenye thamani ya dola za Kimarekani...
11 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Serikali yatakiwa kuandaa sera za uzalishaji wa rangi
SERIKALI imetakiwa kuandaa miongozo ya kisera na kisheria kwa wazalishaji wa rangi ili wasiendelee uzalishaji wa kutumia risasi. Akizungumza jijini Dar es Saalm juzi katika maadhimisho ya wiki ya kimataifa...
11 years ago
Dewji Blog27 Aug
Serikali yasisitiza katika uzalishaji,ukusanyaji na usindikaji wa Maziwa
Msemaji wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Mohamed Bahari akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) walipotembelea kiwanda cha uzalishaji wa maziwa kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam ambapo Serikali inasisitiza watanzania kuwekeza katika sekta ya ufugaji na uzalishaji wa maziwa ili kukuza uchumi.
Mkurugenzi wa kiwanda cha Maziwa cha MilkCom Dairies Ltd Yusuph Said akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo wakati...
9 years ago
MichuziSerikali yatoa siku 14 kwa mgodi wa Buckreef kuanza uzalishaji
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani ametoa siku 14 kwa mgodi wa dhahabu wa Buckreef kuanza uzalishaji ama sivyo wataandikiwa hati ya makosa na Afisa Madini Mkazi katika mkoa wa Geita. Naibu Waziri alitoa agizo hilo baada ya kufika katika mgodi huo uliopo katika kata ya Lwamgasa mkoani Geita na kuona hakuna shughuli zozote za uzalishaji zinazoendelea.
“Najua kuwa hamjazalisha dhahabu mpaka sasa, lakini lazima mzalishe ili kulipa kodi na mrabaha,...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Daraja Letu laitaka serikali kuondoa vitabu
SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la Daraja Letu, limeitaka serikali kuviondoa vitabu vyenye mkanganyiko ili kuweka sawa mitaala na muhtasari inayozingatia mazingira ya sasa kielimu. Daraja Letu pia imeitaka serikali kuchukua...