Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YA MAREKANI YAZUIA TANZANIA MSAADA WA TRILIONI MOJA

Vitendo vya rushwa vimeendelea kuligharimu taifa baada ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) kuzuia misaada yake kwa Tanzania yenye thamani ya dola za Marekani milioni 472.8 (Sh. trilioni 1.006).

Taarifa iliyotolewa jana na MCC ilieleza kuwa mkutano wa robo ya mwaka wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo linalomilikiwa na serikali ya Marekani kwa ajili ya kutoa misaada kwa nchi zinazoendelea ulijadili pendekezo la mkataba mpya na serikali ya Tanzania wenye thamani ya dola za Kimarekani...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CHADEMA Blog

Kauli ya Mbowe baada ya MCC kuzuia Trilioni 1 kwa serikali ya Tanzania

Muda mfupi baada ya Bodi ya MCC kutoa taarifa inayoonesha Tanzania haitapata msaada kutoka shirika hilo kama ilivyotarajiwa kwa ajili ya mwaka 2016, Mwenyekiti wa Chama Chadema, Freema Mbowe ametoa kauli nzito juu ya suala hilo akisema kuwa kuchelewa kupatikana kwa fedha za MCC si tu kunachafua jina la nchi na hadhi yake katika medani za kimataifa, bali kutaathiri kwa kiasi kikubwa miradi yote

 

9 years ago

Global Publishers

Kauli ya Mbowe baada ya MCC kuzuia Trilioni 1 kwa serikali ya Tanzania

Mwenyekiti wa Chama chadema, Freema Mbowe. Muda mfupi baada ya Bodi ya MCC kutoa taarifa inayoonesha Tanzania haitapata msaada kutoka shirika hilo kama ilivyotarajiwa kwa ajili ya mwaka 2016, Mwenyekiti wa Chama  Chadema, Freema Mbowe ametoa kauli nzito juu ya suala hilo akisema kuwa kuchelewa kupatikana kwa fedha za MCC si tu kunachafua jina la nchi na hadhi yake katika medani za kimataifa, bali kutaathiri kwa kiasi kikubwa miradi yote iliyo chini ya ufadhili wa MCC. MCC imeahirisha msada...

 

10 years ago

GPL

OFISI YA BUNGE YAKABIDHIWA NA SERIKALI YA CHINA MSAADA WA VIFAA VYA TEHEMA VYENYE TAHAMNI YA DOLA ZA KIMAREKANI LAKI MOJA

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea kutoka kwa Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing baadhi ya Vifaa vya TEHAMA vilivyotolewa serikali ya China kwa ajili ya kusaidia shughuli za Bunge. Vifaa hivyo vyenye thamani ya Dola za Kimarekani laki moja vimekabidhiwia leo katika hafla iliyofanyika Ofisi ya Spika jijini Dar es Salaam. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda… ...

 

10 years ago

Vijimambo

HOFU YA TANZANIA KUNYIMWA MSAADA NA MAREKANI

Mbunge Zito Kabwe mwenyekiti wa kamati iliyowasilisha ripoti kuhusu sakata ya EscrowSerikali ya Tanzania iko hatarini kukosa dola za Marekani milioni mia saba sawa na trilioni 1.1 kwa fedha za Tanzania kwa ajili ya mradi wa pili wa mfuko wa changamoto za Milenia (MCC) kutokana na kushamiri kwa vitendo vya rushwa nchini humo.Marekani imebainisha kuwa mkataba wa pili wa miradi inayofadhiliwa na shirika lake la Changamoto za Milenia (MCC) utategemea hatua zitakazochukuliwa na serikali ya...

 

10 years ago

Michuzi

Trilioni Moja kutumika kupunguza msongamano wa magari jijini Dar es Salaam.

Na Anitha Jonas - MAELEZO.
SERIKALI imedhamiria kupunguza msongamano wa magari  ndani ya jiji la Dar es Salaam kwakujenga barabara sita zitakazo ambazo ujenzi wake utasimamiwa na TANROADS. Ujenzi huo unatarajiwa kugharimu sh. trilioni moja ambapo lengo barabara hizo ni  kupunguza adha ya msongamano wa magari  katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar es saalam.
Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Mabibo Beer yaidai Tume ya Ushindani (FCC) Tsh. trilioni moja

Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, James Rugemalira akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu kupinga uamuzi wa tume ya ushindani (FCC)  na kuidai fidia hiyo ya sh. trilioni moja kutoka na hasara wanayoipata kwa kuruhusu bia ya Windhoek kuingia katika soko la Tanzania ki holela.

Mwenyekiti wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Benedicta James Rugemalira (katikati), akizungumza katika mkutano huo na kusema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali yazuia halmashauri’

SERIKALI kupitia wakala wake wa kununua na kuhifadhi mazao ya chakula nchini (SGR), imezitikisa halmashauri nne za Mkoa wa Rukwa baada ya kushindwa kuzilipa zaidi ya sh bilioni 2 za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani