Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHAMIM MWASHA: Mmiliki wa 8020 asiyepigia hesabu mali za mume

>“Kila kunapokucha naumiza kichwa nifanye nini ili niweze kutengeneza pesa zitakazoniwezesha kuendesha maisha yangu licha ya kuwa nimeolewa na kumkuta mume wangu tayari ana uwezo,” ndivyo anavyosema Shamim Mwasha, mmiliki wa blogu maarufu ya 8020fashions.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MTENDAJI WA 8020 FASHIONS SHAMIM MWASHA ATOA MADA NAMNA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA MANUFAA KWENYE SEMINA YATAASISI YA MANJANO

Mkurugenzi Mtendaji   8020 Fashion na  Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha  Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake  Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao.Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation Mama Shekhar NasserWashiriki wakimsikiliza Kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shamim Mwasha atoa mada namna kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa kwenye semina ya taasisi ya Manjano

Mkurugenzi Mtendaji 8020 Fashion na  Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha akitoa mada kwenye Semina ya kuwawezesha  wanawake kuwa wajasiriamali kupitia vipodozi vya Luv Touch Manjano iliyoandaliwa na Manjano Foundation kwa lengo la kuwajengea udhubutu wanawake  kufanya biashara pia namna ya kujiwekea akiba na kutumiza malengo yao. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation, Mama Shekhar Nasser.

Washiriki wakimsikiliza...

 

9 years ago

Michuzi

PPF YAIBUKA KIDEDE KATIKA UTUNZAJI BORA WA HESABU ZAKE, YATWAA TUZO YA WA HESABU UPANDE WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII


Na K-Vis Media/Khalfan Said.MFUKO wa Pensheni wa PPF, umeibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya uwasilishaji bora wa hesabu zake katika kipindi cha mwaka 2014.
Katika hafla ya kutoa tuzo kwa taasisi za serikali na za watu binafsi, Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu, NBAA, imetoa tuzo hizo kwa makampuni na taasisi mbalimbali nchini, ambapo kwa upande wa kundi la Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, PPF ndiyo iliibuka ya kwanza ambapo Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko huo, Bw. Martin Mmari kwa niaba ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAJADILI HESABU ZA MWAKA WA FEDHA WA 31 DESEMBA, 2012 BAADA YA RIPOTI YA CAG, KWA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC)

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Zitto Kabwe akiongoza kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hesabu za mwaka wa fedha wa 31 Desemba, 2013 kwa Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG).
Mbunge wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Ismail Rage akichangia mada wakati wa kamati hiyo siku ya tarehe 23 Oktoba, 2014 katika Ofisi ndogo ya...

 

10 years ago

Michuzi

Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.

 Na Hussein Makame, MAELEZO, DodomaKAMATI za Bunge za Serikali za Mitaa (LAAC) na ile ya Hesabu za Serikali (PAC), zimeridhishwa na mafanikio na hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa kuongeza mapato yake na kushughulikia changamoto zinazoikabili katika kutekelza majukumu yake.

Kufuatia hali hiyo, Bunge limepitisha taarifa za kamati hizo na nyingine tatu, huku Serikali ikiahidi kufanyia kazi yale yote yaliyopendekezwa kwenye taarifa hizo ili kulipeleka Taifa kule kunakotakiwa.

Taarifa za Kamati...

 

5 years ago

Michuzi

Upelelezi kesi ya Shamimu Mwasha na Mumewe wakamilika, sasa kwenda Mahakama Kuu.

Na Karama Kenyunko,Michuzi Globu.

UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mfanyabiashara, Abdul Nsembo maarufu kama Abdulkandida (45) na mkewe, Shamim Mwasha(41), umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika.

Pia upande huo wa mashitaka umeiomba mahakama kuipanga kesi hiyo katika tarehe ya karibu ili waweze kuwasomea washtakiwa hao maelezo ya mashahidi (Commital) na vielelezo kwa ajili ya kesi hiyo kuhamia Mahakama Kuu ambayo ndio ina...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIYOANDALIWA NA 8020 Fashions

 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal (kulia) akibonyeza kitufe kufungua maonesho ya kazi za wanawake wakati wa Maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani zilizofanyika leo ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar es salaam. Kushoto ni mwandaaji wa maonesho haya Bi. Shamim Mwasha ambaye ni mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya 8020 Fashions (http://www.8020fashionsblog.com/)  Mama Asha Bilal akiingia kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee  wakati wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mmiliki na nahodha wa ferry mahakamani

Polisi nchini Ufilipino wamewafungulia mashtaka mmiliki na nahodha wa ferry ambayo ilizama na kuwaua zaidi ya watu 50.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani