SHAMSA AONYA DAWA ZA KULEVYA
![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx-8*AL3jFU8orGI*90fhigcKu4CKWnblEArrgP*lZ6B8PsEBCwywH6VDb8gUnSDPZHdhSbmyKX*8SGFOBgoF2mh/SHAMSA.jpg)
Stori: Rhoda Josiah ONYO! Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford amewaonya wasanii wenzake kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya kufuatia miongoni mwao kutiwa mbaroni. Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford. Akizungumza na mwandishi wetu, Shamsa alisema; “Ni vema wasanii wakafanya kazi za halali ambazo zinakubalika katika jamii. Maisha mazuri huwa hayaji kwa pupa hata siku moja. Madawa hayo wanayouza ndiyo...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-79P9KSNEENE/XmDwZ8VeUJI/AAAAAAALhMU/NvKXOpdcLAgvkQBJYaxvfPiBW1NobOvDwCLcBGAsYHQ/s72-c/PHOTO-2020-03-05-13-34-29.jpg)
Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria
![](https://1.bp.blogspot.com/-79P9KSNEENE/XmDwZ8VeUJI/AAAAAAALhMU/NvKXOpdcLAgvkQBJYaxvfPiBW1NobOvDwCLcBGAsYHQ/s1600/PHOTO-2020-03-05-13-34-29.jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Adhabu kali si dawa ya dawa za kulevya
10 years ago
Habarileo12 Mar
Waziri aonya dawa za wakunga wa jadi kwa uzazi salama
DAWA za kienyeji wanazopatiwa wajawazito na wakunga wa jadi wakati wa kujifungua husababisha matatizo ya kiafya kwa watoto wanaozaliwa na wanawake hao.
10 years ago
Mwananchi20 May
Biashara ya dawa za kulevya
11 years ago
Mwananchi24 Mar
DC ahimiza vita dawa za kulevya
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mmarekani adakwa na dawa za kulevya
10 years ago
Tanzania Daima14 Nov
‘Silaha, dawa za kulevya zinaingiaje?’
MBUNGE wa Viti Maalum Moza Abeid (CUF) ameihoji serikali na kutaka itoe maelezo ni kwa njia gani zinatumika kuingiza bidhaa mbalimbali nchini kinyume cha sheria ikiwa ni pamoja na uingizaji...
10 years ago
Habarileo25 Jun
JK mgeni siku ya dawa za kulevya
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani, yatakayo fanyika kitaifa kesho, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.