Shangazi ninusuru na ugonjwa huu
Mimi ni mwanamke, mama wa watoto wawili. Nina umri wa miaka 30. Tatizo langu ni kwamba, nimekuwa nikisumbuliwa na msongo wa mawazo kiasi cha kukosa amani.Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU

~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa...
10 years ago
GPL
BANZA STONE: UGONJWA HUU UTANIUA!
Issa Mnally na Gladness Mallya/ Ijumaa Wikienda
Maskini! Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ yu mgonjwa tena, safari hii ameibuka na kueleza maradhi ambayo yanamsumbua akisema: ‘Ugonjwa huu utaniua.†Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. Awali Ijumaa Wikienda lilipokea taarifa juu ya kuumwa kwa Banza ambapo...
10 years ago
GPL
‘HUU NI UGONJWA WA AJABU KWANGU’
Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
Khaji Mzaro (17), mkazi wa Manzese jijini Dar, yupo katika wakati mgumu baada ya mguu wake wa kushoto kuvimba na kumfanya kukatisha masomo yake na kuendelea kujiuguza pasipo kujua hatima ya maisha yake. Khaji Mzaro akiwa na maumivu makali baada ya kuvimba mguu.
Hali ilivyoanza
Akizungumza na waandishi wetu kwa simanzi kijana huyo alisema, alizaliwa akiwa mzima na mwaka jana mguu...
5 years ago
BBCSwahili14 Mar
Coronavirus: Athari ya ugonjwa huu katika Soka ya Ulaya
Virusi vya Corona vyaendelea kuzua hofu na kuonekana wazi kwamba dunia ipo katika nyakati ngumu. Je athari yake kwa Soka ya Ulaya ni ipi?
5 years ago
BBCSwahili27 Feb
Coronavirus: Je ndevu zinakuhatarisha kupata maambukizi ya ugonjwa huu?
Madai ya kushangaza kwamba wanaume wanaonywa kunyoa ndevu zao ili kujilinda dhidi ya virusi vya corona yamesambaa katika mitandao ya kijamii.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Coronavirus: Dhana potofu zinazohusishwa na kuenea kwa ugonjwa huu
Mamlaka ya afya nchini China inajaribu kila njia kudhibiti mlipuko wa virusi vya Corona ambavyo vimesambaa kote duniani tangu kuripotiwa katika mji Wuhan China.
5 years ago
BBCSwahili29 Feb
Coronavirus: Ni kina nani walio katika hatari ya kupaya ugonjwa huu?
Kwa sasa kukisiwa kwamba uwezekano wa Coronavirus kusababisha kifo ni asilimia sio kwa kila mmoja
5 years ago
BBCSwahili11 May
Virusi vya corona: Kwa miaka 20 nimekuwa nikijitayarisha kukabiliana na ugonjwa huu
Maana ya kukabiliana na hofu ya muda mrefu ya kupata viini kwa mwanahabari wa BBC Peter Goffin wakati wa janga la virusi vya corona.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-May-2025 in Tanzania