Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘HUU NI UGONJWA WA AJABU KWANGU’

Shani Ramadhani na Mayasa  Mariwata
Khaji Mzaro  (17), mkazi wa Manzese jijini Dar, yupo katika wakati mgumu baada ya mguu wake wa kushoto kuvimba na kumfanya kukatisha masomo yake na kuendelea kujiuguza pasipo kujua hatima ya maisha yake. Khaji Mzaro akiwa na maumivu makali baada ya kuvimba mguu.
Hali ilivyoanza
Akizungumza na waandishi wetu kwa simanzi kijana huyo alisema, alizaliwa akiwa mzima na mwaka jana mguu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU(JAMIIMOJABLOG)
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ugonjwa wa ajabu wamtesa mtoto kwa miaka sita

Ananiambia tatizo lilianzia pale alipopata jipu kwenye kwapa la mkono wake.

 

11 years ago

GPL

MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU

STORI: MAKONGORO OGING’
Regina Kihosa (62), mkazi wa Kosolameba mkoani Kigoma amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kufuatia gonjwa la ajabu lililompata huku akidai kwamba limetokana na wachawi ambao wanausumbua mji wake. Regina Kihosa akiteseka kwa gonjwa la ajabu. KWANZA AMEPOTEZA WATOTO WANANE
Mama huyo amelazwa katika hospitali hiyo jengo la Sewahaji,wodi namba 24 akiendelea na matibabu na ana mawazo mengi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Sasa nipo teyari kuolewa- Jackline Wolper, Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu

Star wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kuwa kwasasa yupo tayari kuolewa baada ya kupitia mambo mengi zikiwemo starehe za ujana ambazo wengi wanaokuwa kwenye ndoa huzikimbilia na kuvunja ndoa zao kwa kuwa hawakuzifanya kipindi wapo nje ya ndoa.

 

"Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke  nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza...

 

10 years ago

Mwananchi

Shangazi ninusuru na ugonjwa huu

Mimi ni mwanamke, mama wa watoto wawili. Nina umri wa miaka 30. Tatizo langu ni kwamba, nimekuwa nikisumbuliwa na msongo wa mawazo kiasi cha kukosa amani. 

 

10 years ago

GPL

BANZA STONE: UGONJWA HUU UTANIUA!

Issa Mnally na Gladness Mallya/ Ijumaa Wikienda
Maskini! Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ yu mgonjwa tena, safari hii ameibuka na kueleza maradhi ambayo yanamsumbua akisema: ‘Ugonjwa huu utaniua.” Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. Awali Ijumaa Wikienda lilipokea taarifa juu ya kuumwa kwa Banza ambapo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Athari ya ugonjwa huu katika Soka ya Ulaya

Virusi vya Corona vyaendelea kuzua hofu na kuonekana wazi kwamba dunia ipo katika nyakati ngumu. Je athari yake kwa Soka ya Ulaya ni ipi?

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je ndevu zinakuhatarisha kupata maambukizi ya ugonjwa huu?

Madai ya kushangaza kwamba wanaume wanaonywa kunyoa ndevu zao ili kujilinda dhidi ya virusi vya corona yamesambaa katika mitandao ya kijamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani