Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Athari ya ugonjwa huu katika Soka ya Ulaya

Virusi vya Corona vyaendelea kuzua hofu na kuonekana wazi kwamba dunia ipo katika nyakati ngumu. Je athari yake kwa Soka ya Ulaya ni ipi?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Ni kina nani walio katika hatari ya kupaya ugonjwa huu?

Kwa sasa kukisiwa kwamba uwezekano wa Coronavirus kusababisha kifo ni asilimia sio kwa kila mmoja

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Je ndevu zinakuhatarisha kupata maambukizi ya ugonjwa huu?

Madai ya kushangaza kwamba wanaume wanaonywa kunyoa ndevu zao ili kujilinda dhidi ya virusi vya corona yamesambaa katika mitandao ya kijamii.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Dhana potofu zinazohusishwa na kuenea kwa ugonjwa huu

Mamlaka ya afya nchini China inajaribu kila njia kudhibiti mlipuko wa virusi vya Corona ambavyo vimesambaa kote duniani tangu kuripotiwa katika mji Wuhan China.

 

9 years ago

Vijimambo

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU(JAMIIMOJABLOG)
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. MPANGO ATAHADHARISHA WAFANYAKAZI KUJIKINGA NA CORONA NA KUTAKA IFANYIKE TATHIMINI YA ATHARI ZA UGONJWA HUO KIUCHUMI

Na. Farida Ramadhani na Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, amewaagiza Wataalamu wa Wizara hiyo kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuangalia madhara ya Corona yanayoweza kujitokeza katika uchumi wa nchi pamoja na namna ya kukabiliana nayo.
Agizo hilo amelitoa jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo kuhusu umuhimu wa kujikinga na Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa hatari wa COVID-19.
“Nilikuwa naangalia...

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA

Pierre-Emerick AubameyangHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMshambuliaji wa Arsenal na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang akifanya mashambulizi katika mechi dhidi ya BurnleyMshambuliaji wa Arsenal na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 30, alimuahidi marehemu babu yake kuwa atachezea Real Madrid. (Sun)Gunners pia wanakabiliwa na pigo jingine la kumkosa beki wa RB Leipzig wa miaka 21-Mfaransa Dayot Upamecano baada ajenti wake kusema kuwa huenda asihame kutokana na janga la coronavirus. (Sport 1, via Metro)Tetesi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Athari za kiuchumi zaanza kuonekana

Huku biashara ikiwa imeathirika na wengi wakihofia afya zao.

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO


Timo WernerHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionWerner, katikati , aliwahi kufunga bao mwaka huu (2020) kwa penalti dhidi ya TottenhamLiverpool wamewaambia wawakilishi wa Timo Warner,24, kuwa wanahitaji muda zaidi ili kuamua kama watatuma ofa kwa mshambuliaji huyo wa RB Leipzig, katika kipindi hiki ambacho wanasubiri kutathmini athari za ugonjwa wa corona katika dirisha la usajili. (Guardian)Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 04.05.2020Real pia wanaangalia uwezekano wa kumsajili kinda wa Rennes ya...

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA 25.06.2020

Mhezaji wa Ndombele akimkabili Ashley Westwood wa BurnleyCHANZO CHA PICHA,REUTERSMaelezo ya picha,Mchezaji wa Ndombele akimkabili Ashley Westwood wa BurnleyMchezaji wa Tottenham aliyesaini kandarasi iliovunja rekodi ya dau la £54m Tanguy Ndombele, 23, amemwambia mkufunzi wake Jose Mourinho kwamba hataki tena kucheza chini yake. Paris St-Germain, Barcelona na Bayern Munich zote zinamnyatia kiungo huyo wa kati wa Ufaransa. (ESPN)Barcelona itavutiwa na mpango wa kubadilishana wachezaji huku Ndombele akijiunga na timu hiyo na winga wa kulia wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani