Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Athari za kiuchumi zaanza kuonekana

Huku biashara ikiwa imeathirika na wengi wakihofia afya zao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Athari za kiuchumi za mashirika ya ndege Afrika

IATA imesema madhara ya kiuchumi yanakuwa mabaya zaidi kwa mashirika ya ndege ya Afrika ambapo mwaka jana yalipata hasara ya pauni milioni 78.

 

5 years ago

Michuzi

ONGEZEKO LA WATU HALINA ATHARI KIUCHUMI

Na. Saidina Msangi na Peter Haule, WFM, Dodoma
SERIKALI imesema kuwa ongezeko la watu nchi halina athari za kiuchumi na kijamii kwa kuwa Tanzania ina rasilimali za kutosha kuhudumia idadi hiyo kutokana na sera yake ya ujenzi wa uchumi wa viwanda.

Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Susan Lyimo, aliyetaka ushauri wa Serikali kuhusu ongezeko la idadi ya watu lisiloendana na...

 

5 years ago

CCM Blog

DK.KIJAJI: ONGEZEKO LA WATU HALINA ATHARI KIUCHUMI

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)a. Saidina Msangi na Peter Haule, WFM, DodomaSERIKALI imesema kuwa ongezeko la watu nchi halina athari za kiuchumi na kijamii kwa kuwa Tanzania ina rasilimali za kutosha kuhudumia idadi hiyo kutokana na sera yake ya ujenzi wa uchumi wa viwanda.Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Susan Lyimo, aliyetaka ushauri wa...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. MPANGO ATAHADHARISHA WAFANYAKAZI KUJIKINGA NA CORONA NA KUTAKA IFANYIKE TATHIMINI YA ATHARI ZA UGONJWA HUO KIUCHUMI

Na. Farida Ramadhani na Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, amewaagiza Wataalamu wa Wizara hiyo kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuangalia madhara ya Corona yanayoweza kujitokeza katika uchumi wa nchi pamoja na namna ya kukabiliana nayo.
Agizo hilo amelitoa jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo kuhusu umuhimu wa kujikinga na Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa hatari wa COVID-19.
“Nilikuwa naangalia...

 

5 years ago

Michuzi

UVUTAJI WA TUMBAKU UNA ATHARI KIUCHUMI WA MTU MMOJA MMOJA ANAYETUMIA


Na WAMJW-Dodoma

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema Tanzania kama nchi nyingine za Kiafrika wavutaji wa tumbaku wako hatarini kuyumba kiuchumi na kupata magonjwa yasiyoambukizwa kama tahadhari hazitachukuliwa mapema.

Waziri Ummy amesema hayo leo wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa matumizi ya tumbaku kwa watu wazima wa mwaka 2018 nchini uliofanyika mapema leo katika Ukumbi wa Takwimu jijini Dodoma.

Waziri Ummy amesema utafiti huo umeonesha...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je mataifa ya Afrika yanakabiliana vipi na athari za kiuchumi za Corona?

Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo ametangaza kuwa serikali yake italipia garama ya maji kwa kipindi cha miezi mitatu ijayo ikiwa ni jitihada za kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Athari ya ugonjwa huu katika Soka ya Ulaya

Virusi vya Corona vyaendelea kuzua hofu na kuonekana wazi kwamba dunia ipo katika nyakati ngumu. Je athari yake kwa Soka ya Ulaya ni ipi?

 

9 years ago

BBCSwahili

Kuonekana kwa mwezi mkubwa

Watu maeneo mbalimbali duniani wameutazama mwezi mkubwa usio wa kawaida, ambao utaonekana tena 2033. Hivi ndivyo ulivyoonekana.

 

11 years ago

Mwananchi

Ni muhimu haki kuonekana ikitendeka

Kamati Ndogo ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imesema kuwa ilimaliza kazi yake ilipotoa ripoti kuhusu Operesheni Tokomeza Ujangili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani