Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuonekana kwa mwezi mkubwa

Watu maeneo mbalimbali duniani wameutazama mwezi mkubwa usio wa kawaida, ambao utaonekana tena 2033. Hivi ndivyo ulivyoonekana.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Sajili Domain ya biashara yako kwa Dot TZ (.tz) na uweze kuonekana duniani kote

Domain ni Nini? Ikiwa kuna mtu anataka kutembelea tovuti/website yako (kama wewe ulivyotembelea website hii) atahitaji kutumia domain yako au kwa kuiandika moja kwa moja au kupitia link kutoka kwenye search engine ili kuweza kuiona. Kompyuta huwasiliana kwa kutumia namba zinazoitwa anwani ya IP (IP Address). Hii  ni sawa na unavyo tumia namba ya simu fulani kuwasiliana na fulani. Jina la domain katika mtandao ni kama jina linaloendana na namba husika za simu katika simu yako.
Badala ya...

 

9 years ago

Bongo5

Tyga kuonekana kwenye reality Tv show ya Kardashians ‘KUWTK’, na atalipwa $25,000 kwa kila episode

Mapenzi ya Tyga na girlfriend wake Kylie yanazidi kushamiri, rapper huyo anatarajiwa kuonekana kwenye msimu mpya wa reality tv show ya familia ya Kardashians, ‘Keeping Up With The Kardashian’ (KUWTK). Rapper huyo ambaye amekua akionekana na Kylie sehemu nyingi atakuwa analipwa $25,000 kwa kila episode atakayoonekana kwenye kipindi hicho. Tyga aliungana na girlfriend wake Kylie […]

 

9 years ago

Michuzi

MKUBWA FELLA AANZISHA BAND NYINGINE YA VIJANA KUTOKA MKUBWA NA WANAWE

Mkurugenzi wa kituo cha Mkubwa na Wanawe, Mkubwa Fella ameweza kutoa zao la vijana wengine kutoka Mkubwa na Wanawe ambao wanafanya muziki wa Taarab na kuwabariki jina la Moyo Band, band hii imechanganya wanawake na wanaume na kwa mala ya kwanza itatambulishwa siku ya Ijumaa ya tarehe 11 pale Dar Live wakati Yamoto Band wakizindua Chupa lao jipya ambalo limefanyika SA Cheza kwa Madoido. Zaidi msikilize Saidi Fella Akielezea......

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana ahutubia mkutano mkubwa Tanga, awashukuru watanzania kuipatia CCM ushindi mkubwa uchaguzi serikali za mitaa

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi nzima.

Kinana amesema maeneo yote ambayo upinzania wameshinda na ushindi uliosababishwa na baadhi ya wana CCM NA ENDAPO WATAGUNDULIKA WAMEFANYA KUSUDI KUKIKOSESHA USHINDI CHAMA WATAWAJIBISHWA.

Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWA NGELEJA LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifafanua jambo alipokuwa akihutubia umati wa watu waliofurika kumsikiliza  katika uwanja wa CCM Wilaya ya Sengerema ambapo aliwaambia wakazi hao Chama Cha Mapinduzi kitasimamia haki na misingi kwani ndio chama pekee kinachojali watu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wapo kwenye ziara ya Kukagua na kuimarisha uhai wa chama,Kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ushindi mkubwa kwa upinzani Venezuela

Upinzani nchini Venezuela umeshinda wingi wa viti bungeni kwa mara ya kwanza tangu chama cha kisoshiolisti kiingie madarakani chini ya uongozi wa Hugo Chavez.

 

10 years ago

GPL

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASEMA MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI JANUARI, 2015 UMEENDELEA KUPUNGUA KWA ASILIMIA 4.0‏

 Mkurugenzi wa Sensa za Jamii na Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephrahim Kwesigabo akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.  Mkurugenzi wa Sensa za Jamii na Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Ephrahim Kwesigabo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo , wakati akitoa Fahirisi za bei za taifa kwa mwezi Januari, 2015. Kulia ni Kaimu...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI MKUU: Mwezi mgumu kwa Lowassa

>Kinyang’anyiro cha kuwania urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kitafikia katika hatua ngumu mwezi ujao kitakapochukua uamuzi mgumu dhidi ya baadhi ya makada wake walioonyesha nia ya kuwania urais, akiwamo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

 

10 years ago

Michuzi

NBC YAADHIMISHA MWEZI WA HUDUMA KWA WATEJA

Baadhi ya wateja wa benki ya NBC wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa NBC, Paul Tibazarwa wakati alipokuwa akisikiliza maoni na kuwahudumia wateja katika maadhimisho ya mwezi wa wateja wa benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ambapo viongozi wa benki hiyo walitumia muda wao kuhudumia wateja katika matawi mbalimbali ya NBC. Mkurugenzi Mtendaji wa muda wa benki ya NBC, Pius Tibazarwa akitoa maelekezo kwa mmoja wa wateja, Apolonia Thadeus kuhusu huduma mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani