Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sajili Domain ya biashara yako kwa Dot TZ (.tz) na uweze kuonekana duniani kote

Domain ni Nini? Ikiwa kuna mtu anataka kutembelea tovuti/website yako (kama wewe ulivyotembelea website hii) atahitaji kutumia domain yako au kwa kuiandika moja kwa moja au kupitia link kutoka kwenye search engine ili kuweza kuiona. Kompyuta huwasiliana kwa kutumia namba zinazoitwa anwani ya IP (IP Address). Hii  ni sawa na unavyo tumia namba ya simu fulani kuwasiliana na fulani. Jina la domain katika mtandao ni kama jina linaloendana na namba husika za simu katika simu yako.
Badala ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Pata Domain yako ya .tz kwa Bei Poa

tzNIC-Post

Shirika la tzNIC ni shirika la kitanzania, linalo endeshwa na watanzania ila lisilo la kiserikali. tzNIC inakuwezesha kusajili domain ya tovuti yako ya .tz. Na hivyo basi tzNIC kwakuwa asasi isiyo ya kutafuta faida bei zao ni ndogo sana hivyo kukuwezesha Mtanzania wa kawaida kabisa kuwa na domain ya .tz. Hivyo pale unapo taka kusajili domain ambayo inaishia na .tz hawa ndio wahusika wakuu ambao wametoa vibali kwa wasajili zaidi ya 43 ambao wako Tanzania nzima. Lengo kuu la tzNIC ni kukuza...

 

11 years ago

Dewji Blog

Smart Codes Tanzania yazindua huduma mpya “Patikana” kusaidia biashara za kitanzania kuonekana popote duniani

Kampuni ya SMART CODES inayojishughulisha na teknolojia ya mtandao, imezindua huduma mpya na ya bei nafuu kuwawezesha wafanyabiashara wote duniani hususani Tanzania kuweza kuweka biashara zao kwenye mtandao (Website).

Untitled

Huduma hiyo itawezesha wafanyabiashara wakubwa na wale wadogo kusajili maji na ya biashara zao kwenye kikoa cha Tanzania DotTZ (.tz) mfano.

Kampuni ya SMART CODES inayojishughulisha na teknolojia ya mtandao, imezindua huduma mpya na ya bei nafuu kuwawezesha wafanyabiashara...

 

11 years ago

Michuzi

salamu za pasaka toka globu ya jamii kwa wadau duniani kote

Uongozi wa Michuzi Media Group na watendaji wote unawatakia wadau wa Globu ya Jamii kila pembe ya dunia PASAKA njema. Furaha yenu ndio furaha yetu, na BWANA awabariki afya njema.

 

11 years ago

Habarileo

‘Wanawake duniani kote hawapendi vita’

MKE wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda amesema wanawake wote duniani hawapendi vita wala machafuko na hulilia amani kwani machafuko husababisha kutoweka kwa amani kuanzia ngazi ya familia na kuleta vifo vya watu wasio na hatia.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwa nini shirika la afya duniani linasema hatua ya kujishika uso ni hatari kwa maisha yako?

Ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus kuingia katika miili yetu, madaktari na maafisa wa afya wanatuambia kutoshika macho yetu, pua na mdomo. Lakini hilo sio rahisi kama inavyofikiriwa.

 

10 years ago

Michuzi

Tambua Fursa ya Biashara na Umuhimu wa Trevo kwa Afya Yako

Trevo ni nini

·         Bidhaa kutoka Marekani ambayo ndani yake kuna virutubisho 174

·         Trevo imethibitishwa na ORAC,Cap-e ,Halal,Kosher,Vegetarian,na TFDA

Trevo Inaimarisha

·         Ufahamu wa kiakili-mental focus

·         Kudhibiti uzito- weight management

·         Afya ya moyo- Blood pressure and Heart health

·         Afya ya seli

·         Afya ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula - digestion system

·         Afya ya mfumo wa neva za fahamu - nervous system

·         Afya ya mfumo wa...

 

10 years ago

Michuzi

Unayo sababu ya kumiliki Website bora kwa Biashara yako

Moja kati ya changamoto tunayokutana nayo hapa Dudumizi pindi tunapofanya kazi za wateja wetu ni kuwa, wengi wao wamekuwa wakitaka kukamilisha kazi ya kesho leo. Hii ina maana, mteja anataka website ambayo ina vitu vingi ambayo si lazima vyote vikamilike kwa siku moja.Kwenye biashara yoyote, kama alivyoandika Simon Sinek's kwenye kitabu chake cha anza na kwanini, "Start with why" kuwa unatakiwa kuanza na sababu ya kuwepo kwa biashara yako, na si nini unatakiwa kufanya. Kwa kujua hili,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani