Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TETESI ZA SOKA ULAYA LEO


Timo WernerHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionWerner, katikati , aliwahi kufunga bao mwaka huu (2020) kwa penalti dhidi ya TottenhamLiverpool wamewaambia wawakilishi wa Timo Warner,24, kuwa wanahitaji muda zaidi ili kuamua kama watatuma ofa kwa mshambuliaji huyo wa RB Leipzig, katika kipindi hiki ambacho wanasubiri kutathmini athari za ugonjwa wa corona katika dirisha la usajili. (Guardian)Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 04.05.2020Real pia wanaangalia uwezekano wa kumsajili kinda wa Rennes ya...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO IJUMAA


Philippe CoutinhoHaki miliki ya pichaQUALITY SPORT IMAGES/GETTYImage captionPhilippe Coutinho ameshindwa kutamba Barcelona na amepelekwa Bayern kwa mkopoKlabu ya Newcastle itatumia pauni milioni 70 kumsajili mchezaji wa nafasi ya kiungo wa Barcelona, raia wa Brazil Philippe Coutinho ikiwa pendekezo la klabu hiyo kununuliwa litafanikiwa. Mchezaji huyo mwenye miaka 27 anaichezea Bayern Munich kwa mkopo. (Mundo Deportivo - in Spanish)Kampuni ambayo inaelekea kuwa wamiliki wapya wa Newcastle pia inataka...

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO ALHAMIS 21.05.2020


Leroy SaneHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionLeroy SaneMshambuliaji wa Manchaster City, mjerumani Leroy Sane, 24, ametengewa jezi nambari 10 katika kikosi cha Bayern Munich kwa ajili ya msimu ujao. (Mirror)Chelsea wanapambana kumuuza Victor Moses wakati Inter Milan wakikataa kulipa kitita cha pauni milioni 10.75, kwa jailli ya winga huyo wa Nigeria , 29.(Sun)Wakala wa Jorginho, 28, amesisitiza kuwa kiungo wa Italia ana furaha katika kikosi cha Chelsea na kuda kuwa Juventus haijaonesha nia ya...

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMANNE 26.05.2020

Allan Saint-MaximinHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESEverton imewasilisha ombi la £40m kumsaini kiungo wa kati wa Napoli, Allan, 29, lakini klabu hiyo inataka dau la £60m kumuuza raia huyo wa Brazil. (Il Mattino - in Italian)The Toffees pia wamewasilisha ombi la $25m kwa Barcelona kumnunua beki wa Ufaransa Jean -Claire Todibo ,20, ambaye kwa sasa anahudumu kwa mkopo katika klabu ya Schalke nchini Ujerumani. (Mail)Manchester United kumuongezea kandarasi kipa wa England Dean HendersonHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionManchester United kumuongezea kandarasi kipa wa England Dean...

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMATATU MEI 25,2020


Phillipe CoutinhoArsenal inatarajiwa kuanza mazungumzo na wakala wa kiungo wa kati wa Barcelona Phillipe Coutinho.Mchezaji huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 27 amehudumia msimu wote akiwa kwa mkopo katika mabingwa hao wa Ujerumani Bayern Munich, lakini klabu hiyo haiko tayari kulipa paundi milioni 105 za Uingereza ili kufanikisha mkataba wa kudumu.(Le10sport - in French)Paris St-Germain inafanya mazungumzo na Arsenal katika jaribio la kumsaini mashambuliaji wa klabu hiyo Pierre-Emerick Aubameyang, 30, for...

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu tarehe 24.02.2020: Tetesi za uhamisho wa Zlatan, Smalling, Mkhitaryan, Phillips, Kostic

Mkurugenzi wa masuala ya kiufundi wa klabu wa AC Milan Paolo Maldini anasema Mswidi Zlatan Ibrahimovic, mwenye umri wa miaka 38, amefanya marekebisho ya kipengele cha mkataba wake iwapo Wataliano watafuzu kuingia Championi. (Mail)

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA

Pierre-Emerick AubameyangHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMshambuliaji wa Arsenal na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang akifanya mashambulizi katika mechi dhidi ya BurnleyMshambuliaji wa Arsenal na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 30, alimuahidi marehemu babu yake kuwa atachezea Real Madrid. (Sun)Gunners pia wanakabiliwa na pigo jingine la kumkosa beki wa RB Leipzig wa miaka 21-Mfaransa Dayot Upamecano baada ajenti wake kusema kuwa huenda asihame kutokana na janga la coronavirus. (Sport 1, via Metro)Tetesi...

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA 25.06.2020

Mhezaji wa Ndombele akimkabili Ashley Westwood wa BurnleyCHANZO CHA PICHA,REUTERSMaelezo ya picha,Mchezaji wa Ndombele akimkabili Ashley Westwood wa BurnleyMchezaji wa Tottenham aliyesaini kandarasi iliovunja rekodi ya dau la £54m Tanguy Ndombele, 23, amemwambia mkufunzi wake Jose Mourinho kwamba hataki tena kucheza chini yake. Paris St-Germain, Barcelona na Bayern Munich zote zinamnyatia kiungo huyo wa kati wa Ufaransa. (ESPN)Barcelona itavutiwa na mpango wa kubadilishana wachezaji huku Ndombele akijiunga na timu hiyo na winga wa kulia wa...

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 15.06.2020


Aston Villa celebrateHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionJack Grealish (kulia) aliwahi kuchezea Ireland katika timu za U17, U18 na U21Manchester United itaongeza jitihada kuhakikisha inamsajili kiungo wa kati Jack Grealish, 24, kwa kitita cha pauni milioni 75 baada ya kuambiwa wamsubiri kwa miezi 12 mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho, 20 (Daily Star)Tottenham Hotspur, West Ham na Chelsea wanamtaka mlinda mlango wa Uhispania Pau Lopez. Roma itamuuza mchezaji huyo, 25 kwa kitita cha pauni...

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMAMOSI 16.05.2020


Erling Braut HaalandReal Madrid bado wana nia ya kumnunua Erling Braut Haaland na watamfuatilia mshambuliaji huyo wa miaka 19- leo Jumamosi wakati Borussia Dortmund watarejea uwanjani katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga. (Mundo Deportivo - in Spanish)Chelsea wako tayari kuwauza baadhi ya wachezaji wake katika kikosi cha kwanza ili kufadhili kiungo wa kujiimarisha msimu huu lakini hawana nia ya kupokea ofa ya kuwauza wachezaji N'Golo Kante, 29, na Jorginho, 28. (ESPN)JesusGabriel JesusHaki miliki ya pichaREUTERSManchester...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani