Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMATATU MEI 25,2020


Phillipe CoutinhoArsenal inatarajiwa kuanza mazungumzo na wakala wa kiungo wa kati wa Barcelona Phillipe Coutinho.Mchezaji huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 27 amehudumia msimu wote akiwa kwa mkopo katika mabingwa hao wa Ujerumani Bayern Munich, lakini klabu hiyo haiko tayari kulipa paundi milioni 105 za Uingereza ili kufanikisha mkataba wa kudumu.(Le10sport - in French)Paris St-Germain inafanya mazungumzo na Arsenal katika jaribio la kumsaini mashambuliaji wa klabu hiyo Pierre-Emerick Aubameyang, 30, for...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu tarehe 24.02.2020: Tetesi za uhamisho wa Zlatan, Smalling, Mkhitaryan, Phillips, Kostic

Mkurugenzi wa masuala ya kiufundi wa klabu wa AC Milan Paolo Maldini anasema Mswidi Zlatan Ibrahimovic, mwenye umri wa miaka 38, amefanya marekebisho ya kipengele cha mkataba wake iwapo Wataliano watafuzu kuingia Championi. (Mail)

 

5 years ago

CCM Blog

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 15.06.2020


Aston Villa celebrateHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionJack Grealish (kulia) aliwahi kuchezea Ireland katika timu za U17, U18 na U21Manchester United itaongeza jitihada kuhakikisha inamsajili kiungo wa kati Jack Grealish, 24, kwa kitita cha pauni milioni 75 baada ya kuambiwa wamsubiri kwa miezi 12 mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho, 20 (Daily Star)Tottenham Hotspur, West Ham na Chelsea wanamtaka mlinda mlango wa Uhispania Pau Lopez. Roma itamuuza mchezaji huyo, 25 kwa kitita cha pauni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 11.05.2020: Aubameyang, Ighalo, Upamecano, Martinez

Mshambuliaji wa Arsenal na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 30, alimuahidi marehemu babu yake kuwa atachezea Real Madrid. (Sun)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 27.04.2020: Coutinho, Aubameyang, De Gea, Rakitic, Neymar

Kiungo wa kati wa Barcelona Philippe Coutinho, ambaye yuko kwa mkopo Bayern Munich, aliambiwa na Liverpool kuwa hawana mpango wa kumsajili tena mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 02.03.2020: Sancho, Foster, Smalling, Koulibaly, Mertens

Winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 19, hana mawazo kuhusiana na hatma yake ya baadae licha ya tetesi zinazomhusisha na uhamisho wa kuenda Manchester United ama Liverpool. (Mail)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 22.06.2020: Jimenez, Kurzawa, Messi, Koulibaly, Vertonghen

Barcelona wameanzisha mazungumzo juu ya mkataba mpya wa mwaka mmoja kwa ajili ya Muargentina Lionel Messi, anayetimiza umri wa miaka 33 Jumatano wiki hii. (Marca)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 18.05.2020: Grealish, Dyche, Zaniolo, McNeil, Jimenez

Kiungo wa kati a Fiorentina Chriastian Koffi, 19 , aliamua kutojiunga na Liverpool mwaka 2018 lakini anasema hakufanya makosa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 13.04.2020: Sancho, Ndombele, Rodriguez, Mertens, Mkhitaryan

Winga wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho, 20, hana mpango wa kujiunga na Chelsea, hatua ambayo inaiweka Manchester United katika nafasi nzuri ya kupata saini yake japo Real Madrid pia wanapigiwa upatu kumsajili nyota huyo. (Diario Madridista, in Spanish)

 

5 years ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 15.06.2020: Grealish, Sancho, Aubameyang, Alonso, Havertz, Ndidi

Manchester United yakaza kamba zaidi kuhakikisha inamsajili kiungo wa kati Jack Grealish

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani