SHAROBARO AMFANYIA FUJO DK. MAGUFULI...
Richard Bukos, Kilimanjaro Wahenga walisema utakiona cha mtema kuni! Ndivyo ilivyomtokea kijana anayedaiwa ndiye sharobaro maarufu eneo la Himo katika Jimbo la Vunjo, Kilimanjaro aliyejitambulisha kwa jina la Steven Charles baada ya kumfanyia fujo mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli katika jimbo hilo wakati akinadi sera zake. Kijana huyo akiwa mikononi mwa dira. Katika tukio hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSHAROBARO, HAUSIGELI LIVE
11 years ago
Dewji Blog13 Jul
10 years ago
GPLSHAROBARO NUSURA ‘ABONYEZWE KIZENJI’!
9 years ago
BBCSwahili16 Aug
Mourinho amfanyia masikhara Wenger
11 years ago
CloudsFM05 Aug
SHAROBARO MUSIC YAMWINGIZIA BOB JR ZAIDI YA MILIONI 300
STAA wa Bongo Fleva,mbaye ni mmliki wa studio ya Sharobaro records,Bob Junior hivi karibuni aliandaa sherehe ya miaka 8 tangu kuanzishwa kwa studio yake ambayo ilianzishwa chini ya wasanii watatu ambao ni Bob Junior mwenyewe, Ally Kiba na Hakeem 5, kama unakumbuka studio hiyo ilihusika kutengeneza album ya kwanza ya Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz, album ya kwanza ya msanii Top C na studio hiyo pia imetoa wasanii kibao.
Bob Junior amefunguka mengi ikiwemo changamoto alizopitia kwa miaka...
11 years ago
GPLSHAROBARO AFUMWA NA MKE WA MTU NDANI YA GARI BOVU
10 years ago
GPLMDOSI AMFANYIA MBAYA DEREVA WAKE
9 years ago
GPLBOSI AMFANYIA UMAFIA HAUSIGELI WAKE!
11 years ago
GPLKAJALA AMFANYIA BONGE LA BETHIDEI MWANAE PAULA