SHAROBARO NUSURA ‘ABONYEZWE KIZENJI’!
![](http://api.ning.com:80/files/XP1HwsPGdbfLhZ9y5gmOjreTsoGygt*kv3wjh321WheMzToC9bQRqfOkzhpRu0BOwwcAGteVeXpvyffqwi8D*DFLLQAo4x5l/IMG20150423WA0011.jpg)
Sharobaro huyo akiwa amelala chini hajielewi. Stori: Dustan Shekidele, Moro Noma sana! Kijana mmoja ‘sharobaro’ ambaye jina halikufahamika amenusurika kufanyiwa kitu mbaya ‘kubonyezwa kizenji’ na wahuni baada ya kupiga mitungi na kuwa chakari. Sharobaro huyo akiwa kajitapikia chini na akiwa amelala huku akiwa hata hajitambui. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati ambapo jamaa huyo alikutwa kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ve0GOSCWJajvpM2t*XDjbH2ZYv7*WjuUpqsVgZq6-IPMjLALQlnWGH32jNZ-HAMHqOHTkbtR0tXyA00lbjs6h3*TEU0pPEQ-/6.jpg?width=650)
SHAROBARO, HAUSIGELI LIVE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SryUG9vl6-26Ayd5xkkw9-cKYGxzGfJkO3uCa*k318inRebc2FzUu1mM5AyMrJXM*Z1M96jj-NAJlGsU8iEzpue282b4*-GG/sharo.jpg?width=650)
SHAROBARO AMFANYIA FUJO DK. MAGUFULI...
11 years ago
Dewji Blog13 Jul
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcKUZZwVW0VxSfGVDoeAHGi9PN2vOUKJZS1FmHsjU8tkUehNhIQ63IlzLbgZaKbs5v89At8alThBE1ed5l2zkLcC/zamwizi.jpg?width=650)
SHAROBARO AFUMWA NA MKE WA MTU NDANI YA GARI BOVU
11 years ago
CloudsFM05 Aug
SHAROBARO MUSIC YAMWINGIZIA BOB JR ZAIDI YA MILIONI 300
STAA wa Bongo Fleva,mbaye ni mmliki wa studio ya Sharobaro records,Bob Junior hivi karibuni aliandaa sherehe ya miaka 8 tangu kuanzishwa kwa studio yake ambayo ilianzishwa chini ya wasanii watatu ambao ni Bob Junior mwenyewe, Ally Kiba na Hakeem 5, kama unakumbuka studio hiyo ilihusika kutengeneza album ya kwanza ya Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz, album ya kwanza ya msanii Top C na studio hiyo pia imetoa wasanii kibao.
9 years ago
Bongo521 Oct
Kaeni tayari Sharobaro Records inakuja kuleta mapinduzi — Bob Junior
11 years ago
CloudsFM04 Aug
SHAROBARO RECORDS YATIMIZA MIAKA 8,WAANZILISHI WALIKUWA BOB JUNIOR, ALLY KIBA NA HAKEEM 5
Rais wa Masharobaro Bob Jr, Mr Chocolate Flava alifanya shoo ya maadhimisho ya miaka 8 tangu kuanzishwa kwa studio hiyo iliyopo Magomeni Mapipa. Kulikua na namba kubwa ya mahudhurio ya mashabiki kutoka kona zote Bongo na kufurahia show kali za wasanii wengi wa sharobaro pamoja na baadhi ya wasanii waliowahi kurekodi katika studio hiyo, Barnaba Boy Classic, alikuwepo, Spince Seseme na Linex Sunday Mjeda.
Baada ya shoo Clouds fm ilikaa na mr Bob Junior akafunguka mengi aliyopitia wakati...
11 years ago
Bongo523 Jul
Roma atimiza ahadi ya kufanya wimbo Sharobaro Rec, wimbo unaitwa ‘Maumivu’
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-TI4uM2ffQhZz03yUMJmMG83kYq2UxAbhMn4NI6*jrKkDb5L*tzinvAbL9I4d8*HKUS*Gft7KAYEqHEqi3ZO4xr6eafjjW8T/mrembo.jpg?width=650)
MREMBO NUSURA ABAKWE