Sheikh: Ahadi ya Pinda ‘kitanzi’ cha CCM
Suala la Mahakama ya Kadhi jana liliibuka wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya Idd el Haji wakati naibu Imamu wa Msikiti wa Shafii, Sheikh Othman Amani aliposema kuwa ahadi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuhusu Mahakama ya Kadhi ndiyo itakayoamua kura za Waislamu dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Miswada hii ya habari ni kitanzi kingine kwa CCM
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Watanzania wamepigwa kitanzi cha umeme
KILA siku maisha ya Mtanzania yanazidi kuwa mabovu, yasiyoelezeka wala kutamanika machoni mwa watu wanaoifahamu vema Tanzania ilivyo. Licha ya ukweli kuwa Tanzania imejaliwa kila aina ya baraka kutoka kwa...
10 years ago
Dewji Blog16 Jun
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba (kushoto) enzi za uhai wake.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo cha Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Sheikh Issa Bin Shaaban Simba.
Marehemu Mufti amefariki leo 15/6/2015 asubuhi katika hospitali ya TMJ – DSM alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa sukari na shinikizo...
11 years ago
Mwananchi29 May
Rais Uhuru kwenye kitanzi cha kulipa deni la Anglo Leasing
11 years ago
Mwananchi29 Jun
‘Mitambo ya kisasa ya video serikalini, kitanzi cha posho kwa watendaji’
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OkkR6evK9Rk/VX7rn4sF-JI/AAAAAAAHfss/hR6YXhCRfO4/s72-c/index.jpg)
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA MUFTI SHEIKH ISSA BIN SHAABAN SIMBA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
![](http://2.bp.blogspot.com/-OkkR6evK9Rk/VX7rn4sF-JI/AAAAAAAHfss/hR6YXhCRfO4/s1600/index.jpg)
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo...
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Ahadi ya Pinda yavunja mkutano wa Kinana
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Ahadi ya Pinda Mahakama ya Kadhi hatarini kukwama
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Pinda atimiza ahadi yake kwa kukabidhi mizinga 600 Singida
Afisa mwanadamizi wa mamlaka ya misitu kanda ya kati, Joyce akizungumza kwenye sherehe ya kukabidhi mizinga 600 iliyotolewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyoahidi mwaka 2013.
Katibu Tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, akizungumza kwenye sherehe ya kukabidhi Mizinga 600 iliyotolewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyoahidi mwaka 2013. Aliyeketi ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utallii, Mahamoud Mgimwa.
Naibu Waziri wa Mali asili na utalii, Mahamoud Mgimwa (kulia) akimkabidhi mbunge wa...