Ahadi ya Pinda yavunja mkutano wa Kinana
Ahadi ya chakula iliyotolewa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa jamii ya wafugaji wa Kimasai, juzi iliharibu mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya vilio vya wazee kutawala mkutanoni na kumlazimu kiongozi huyo kuamuru uahirishwe hadi majibu yapatikane.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Jun
Ahadi ya Meli ya Kikwete yamtoa jasho Kinana
11 years ago
Mwananchi06 Oct
Sheikh: Ahadi ya Pinda ‘kitanzi’ cha CCM
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Ahadi ya Pinda Mahakama ya Kadhi hatarini kukwama
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Pinda atimiza ahadi yake kwa kukabidhi mizinga 600 Singida
Afisa mwanadamizi wa mamlaka ya misitu kanda ya kati, Joyce akizungumza kwenye sherehe ya kukabidhi mizinga 600 iliyotolewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyoahidi mwaka 2013.
Katibu Tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan, akizungumza kwenye sherehe ya kukabidhi Mizinga 600 iliyotolewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyoahidi mwaka 2013. Aliyeketi ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utallii, Mahamoud Mgimwa.
Naibu Waziri wa Mali asili na utalii, Mahamoud Mgimwa (kulia) akimkabidhi mbunge wa...
10 years ago
Mtanzania17 Mar
Wananchi wamshtaki Pinda kwa Kinana
NA ELIYA MBONEA, NGORONGORO
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, anadaiwa kutoa ahadi hewa ya magunia 10 ya mahindi kwa kila kaya kwa mwaka kama njia mbadala ya kilimo cha kujikimu kwa wananchi wanaoishi ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, mkoani Arusha.
Ahadi hiyo aliitoa Septemba 19, mwaka juzi, akiwa Endulen wilayani hapa, bila kuwapo kwa maandishi ya Serikali, hatua inayoligharimu Baraza la Wafugaji la Wilaya ya Ngorongoro kwa sasa mbele ya wananchi.
Akizungumza kwa niaba ya wananchi wa...
11 years ago
GPL
MKUTANO WA KINANA ZANZIBAR
11 years ago
Dewji Blog16 Apr
Kinana wilaya ya Mulele, akutana na Mama mzazi wa Pinda
-Atembelea kata ya Kibaoni, asalimiana na wananchi na kukagua mradi wa maji, akutana na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda .
-Ajionea mradi wa ufugaji Nyuki katika shamba la Waziri Mkuu
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipeana mkono na Wazee wa kijiji cha Majimoto kata ya Majimoto baada ya kupewa heshima ya kuwa Mzee wa Kijiji hicho kwenye viwanja vya michezo vya Majimoto sehemu ambayo mkutano wa hadhara ulifanyika na kuhudhuriwa na umati mkubwa.
Katibu Mkuu wa CCM...
10 years ago
StarTV02 Dec
Mbunge amchongea Waziri Mkuu Pinda kwa Kinana.
Na Joseph Mpangala, Mtwara.
Mbunge wa Mtwara Mjini Hasnain Murji amemlalamikia Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa kushindwa kutoa kibali cha kuruhusu ulipaji wa fidia katika viwanja vya wakazi wa Mtwara ambavyo tayari vimepimwa na pesa kutoka Manispaa hiyo ipo tayari kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
Murji amesema amekutana na Waziri Mkuu mara tano lakini amekuwa akizungushwa kupata kibali jambo linalochangia ucheleweshwaji wa maendeleo ya ujenzi wa nyumba kwa wakazi wa maeneo...
11 years ago
Dewji Blog09 Oct
Mkutano wa Kinana mjini Mafinga
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wananchi wa Mafinga wakati akiwasili kwenye uwanja wa Mashujaa .

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana na Bi.Mwigavillo Ngole ambaye amesafiri mwendo mrefu kuja kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM

Wazee wa Kimila wakiwa uwanjani kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo walimpa Uchifu na kumtambua kwa jina la Galiendela Matuga .

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi Johanes Kaguo akifungua...