Ahadi ya Meli ya Kikwete yamtoa jasho Kinana
>Ahadi ya Meli mpya katika Ziwa Victoria iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete imegeuka mwiba kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ambaye aliulizwa maswali magumu na wananchi yaliyomfanya ashindwe kuyatolea majibu ya uhakika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Oct
Jk utatekeleza lini ahadi ya meli Ziwa Victoria
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Ahadi ya Pinda yavunja mkutano wa Kinana
11 years ago
Mwananchi21 May
Meli ya Kikwete kukamilika 2016
10 years ago
Mtanzania29 Apr
Rais Kikwete azindua meli za vita Dar
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete, amezindua na kuidhinisha rasmi matumizi ya meli mbili za vita ambazo ni P 77 Mwitongo na P 78 Msoga na kusema huo ni mwanzo wa kutokomeza uharamia na wizi wa rasilimali katika eneo la Bahari ya Hindi.
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa meli hizo jana katika kambi ya Jeshi la Wanamaji (NAVY), iliyopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, Rais Kikwete alisema zimepatikana wakati mwafaka ambapo...
10 years ago
Mwananchi29 Apr
Kikwete apokea meli mbili za kivita kutoka China
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Stupid Father yamtoa machozi prodyuza
FILAMU mpya ya ‘Stupid Father’ aliyoicheza marehemu Adam Kuambiana, inamtoa machozi mtayarishaji wa Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, Denis Ngakongwa, ambaye aliihariri kwa ajili ya kuiingiza sokoni hivi karibuni....
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Chupi inayobana yamtoa m'bunge bungeni
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Wahoji utekelezaji wa ahadi ya Rais Kikwete
11 years ago
Mwananchi01 Sep
Rais Kikwete: Nimetimiza ahadi kwa asilimia 80