Wananchi wamshtaki Pinda kwa Kinana
NA ELIYA MBONEA, NGORONGORO
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, anadaiwa kutoa ahadi hewa ya magunia 10 ya mahindi kwa kila kaya kwa mwaka kama njia mbadala ya kilimo cha kujikimu kwa wananchi wanaoishi ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, mkoani Arusha.
Ahadi hiyo aliitoa Septemba 19, mwaka juzi, akiwa Endulen wilayani hapa, bila kuwapo kwa maandishi ya Serikali, hatua inayoligharimu Baraza la Wafugaji la Wilaya ya Ngorongoro kwa sasa mbele ya wananchi.
Akizungumza kwa niaba ya wananchi wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Wananchi wamshtaki JK kwa UKAWA
WAKAZI wa Sumbawanga, wamlalamikia Rais Jakaya Kikwete, kuwa ni miongoni watu wanaokwamisha mchakato wa Katiba mpya kutoa kauli tata. Malalamiko hayo wameyatoa juzi mbele ya viongozi wa Umoja wa Katiba...
10 years ago
Vijimambo05 Jan
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
CCM wamshtaki Massawe kwa JK
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemshtaki kwa Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Fabian Massawe, kikidai kuwa ndiye chanzo cha mgogoro kati ya Meya wa Manispaa ya Bukoba,...
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Simba wamshtaki Rage kwa Spika
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Wamshtaki Mugabe kwa kuwafuta kazi
10 years ago
StarTV02 Dec
Mbunge amchongea Waziri Mkuu Pinda kwa Kinana.
Na Joseph Mpangala, Mtwara.
Mbunge wa Mtwara Mjini Hasnain Murji amemlalamikia Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa kushindwa kutoa kibali cha kuruhusu ulipaji wa fidia katika viwanja vya wakazi wa Mtwara ambavyo tayari vimepimwa na pesa kutoka Manispaa hiyo ipo tayari kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
Murji amesema amekutana na Waziri Mkuu mara tano lakini amekuwa akizungushwa kupata kibali jambo linalochangia ucheleweshwaji wa maendeleo ya ujenzi wa nyumba kwa wakazi wa maeneo...
10 years ago
VijimamboKINANA AITEKA HANDENI WENGI WAMPONGEZA KWA KUTOA NAFASI KWA WANANCHI KUULIZA MASWALI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kata ya Kwaluguru wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara katika shule ya sekondari Kwaluguru wilayani Handeni.Wananchi wa kata ya Kwaluguru wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahma Kinana wakati wa ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi katika shule ya sekondari Kwaluguru ambapo vyumba 83 vya maabara vinajengwa wilayani Handeni.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
VijimamboKINANA AWATAKA WANANCHI KUFANYA KAZI KWA
Sista Maria Mfariji Milanzi wa Msista wa Benedikti wa Bikira Maria Msaada wa Kristo Ndanda Narunyu Novisiati akisoma taarifa ya mradi wa shamaba la mifugo Narunyu kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo alielezwa kuwa shamba hilo lilianza na Ng'ombe 50 na sasa wana Ng'ombe 450,shamba hilo linasaidia kupatikana kwa maziwa ,nyama na umeme unaotokana na kinyesi cha wanyama yaani Biogas.Shamba hilo lililopo katika kijiji cha Kiwalala ,kata ya Kiwalala ,wilaya ya Lindi Vijijini
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10