Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamshtaki Mugabe kwa kuwafuta kazi

Washirika wawili wa zamani wa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe wanamshtaki kwa kuwafuta kazi kiholela.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Twitter kuwafuta kazi watu 336

Mtandao wa Twitter umesema kuwa unapunguza kazi 336 ikiwa ni asilimia 8 ya ajira zote duniani za mtandao huo kama mpango wa kuimarisha biashara yake.

 

9 years ago

BBCSwahili

Anglo American kuwafuta kazi 85,000

Anglo American inayochimba madini ya almasi, makaa ya mawe, chuma inapania kuwapunguza zaidi ya wafanyikazi 85,000.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wamshtaki JK kwa UKAWA

WAKAZI wa Sumbawanga, wamlalamikia Rais Jakaya Kikwete, kuwa ni miongoni watu wanaokwamisha mchakato wa Katiba mpya kutoa kauli tata. Malalamiko hayo wameyatoa juzi mbele ya viongozi wa Umoja wa Katiba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM wamshtaki Massawe kwa JK

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemshtaki kwa Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Fabian Massawe, kikidai kuwa ndiye chanzo cha mgogoro kati ya Meya wa Manispaa ya Bukoba,...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba wamshtaki Rage kwa Spika

Zikiwa zimebaki siku nane, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lipigilie msumari kwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, wanachama wa klabu hiyo juzi walitinga bungeni kumshtaki Mwenyekiti huyo kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda.

 

10 years ago

Mtanzania

Wananchi wamshtaki Pinda kwa Kinana

Mizengo-PindaNA ELIYA MBONEA, NGORONGORO

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, anadaiwa kutoa ahadi hewa ya magunia 10 ya mahindi kwa kila kaya kwa mwaka kama njia mbadala ya kilimo cha kujikimu kwa wananchi wanaoishi ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, mkoani Arusha.
Ahadi hiyo aliitoa Septemba 19, mwaka juzi, akiwa Endulen wilayani hapa, bila kuwapo kwa maandishi ya Serikali, hatua inayoligharimu Baraza la Wafugaji la Wilaya ya Ngorongoro kwa sasa mbele ya wananchi.
Akizungumza kwa niaba ya wananchi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mugabe amfuta kazi makamu wake

Rais Robert Mugabe amemfuta kazi makamu wake Joice Mujuru, kufuatia ushindani wa uongozi katika chama tawala cha ZANU-PF.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Mugabe amfuta kazi makamu wake


Taarifa kutoka nchini Zimbabwe zinasema kuwa Rais Robert Mugabe amemfuta kazi makamu wake Joice Mujuru, kufuatia ushindani wa uongozi katika chama tawala cha ZANU-PF.

Awali Bi Joyce Mujuru, alikanusha madai kuwa yeye ni mfisadi na alihusika na njama ya kutaka kumuua rais Robert Mugabe.

Bi Mujuru alilaaniwa na Rais Mugabe wiki iliyopita na kuondolewa kutoka wadhifa wake wa makamu wa rais wa chama tawala cha ZANU-PF wakati wa kongamano la chama hicho mjini Harare.

Amesema ameendelea kupokea...

 

9 years ago

Global Publishers

Chama Cha Wahasibu Kuwafuta Wanaokiuka Maadili

1.Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa chama cha wahasibu Tanzania,George Binde, Mwenyekiti,  Fred M. Msemwa, Secretary, Dyoya D. James na Mtendaji mkuu wa chama hicho, Valerian Rweyemamu Kaijage.Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa chama cha wahasibu Tanzania, George Binde, Mwenyekiti, Fred M. Msemwa, Secretary, Dyoya D. James na Mtendaji Mkuu, Valerian Rweyemamu Kaijage.2.Msemwa (katikati) akitoa ufafanuzi wa jambo.Msemwa (katikati) akitoa ufafanuzi wa jambo.3.Viongozi hao wakitafakari kujibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari ( hawap pichani).Viongozi hao wakitafakari kujibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari ( hawapo pichani).4.Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.

Chama cha Wahasibu Tanzania ‘TAA’  kimesema kuwa kitawafuta katika daftari lake  la uanachama wahasibu wanaokiuka maadili ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani