Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wamshtaki JK kwa UKAWA

WAKAZI wa Sumbawanga, wamlalamikia Rais Jakaya Kikwete, kuwa ni miongoni watu wanaokwamisha mchakato wa Katiba mpya kutoa kauli tata. Malalamiko hayo wameyatoa juzi mbele ya viongozi wa Umoja wa Katiba...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wananchi wamshtaki Pinda kwa Kinana

Mizengo-PindaNA ELIYA MBONEA, NGORONGORO

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, anadaiwa kutoa ahadi hewa ya magunia 10 ya mahindi kwa kila kaya kwa mwaka kama njia mbadala ya kilimo cha kujikimu kwa wananchi wanaoishi ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, mkoani Arusha.
Ahadi hiyo aliitoa Septemba 19, mwaka juzi, akiwa Endulen wilayani hapa, bila kuwapo kwa maandishi ya Serikali, hatua inayoligharimu Baraza la Wafugaji la Wilaya ya Ngorongoro kwa sasa mbele ya wananchi.
Akizungumza kwa niaba ya wananchi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM wamshtaki Massawe kwa JK

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimemshtaki kwa Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Fabian Massawe, kikidai kuwa ndiye chanzo cha mgogoro kati ya Meya wa Manispaa ya Bukoba,...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba wamshtaki Rage kwa Spika

Zikiwa zimebaki siku nane, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lipigilie msumari kwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, wanachama wa klabu hiyo juzi walitinga bungeni kumshtaki Mwenyekiti huyo kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wamshtaki Mugabe kwa kuwafuta kazi

Washirika wawili wa zamani wa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe wanamshtaki kwa kuwafuta kazi kiholela.

 

9 years ago

Mtanzania

Ukawa watumia kauli za Kinana kuichongea CCM kwa wananchi

MnyaaNa Elias Msuya, Tanga

ZIARA ya Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji, imeingia mkoani Tanga huku viongozi walio kwenye msafara wake wakiwakaanga wagombea ubunge wa CCM kwa kauli ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana aliyesema chama chake kimejaa wezi, wanafiki na majambazi.

Kinana alitamka maneno hayo alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara  mjini Moshi mkoani Kilimanjaro...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WANANCHI CUF CHASISITIZA KUWA KATIKA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI ( UKAWA )

1Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Bara, Magdalena Sakaya, akizungumza na waandishishi wa habari, Dar es Salaam leo kuhusu masuala ya kuwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Uchaguzi na Mipango wa CUF, Shaweji Mketo na kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Habari wa CUF Taifa, Abdul Kambaya.2Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.

 

9 years ago

Vijimambo

CCM ndio chama kinachopendwa zaidi na wananchi Takwimu zinaonyesha kwamba wananchi hawaelewi nafasi rasmi ya Ukawa

22 Septemba, Dar es Salaam: Asilimia 62 ya wananchi wanasema kwamba wanajisikia wapo karibu zaidi na chama cha CCM kuliko vyama vingine. Aidha, walipoulizwa watawachagua wagombea wa chama gani – bila kutajiwa majina ya wagombea – wananchi 6 kati ya 10 walisema kwamba watawachagua wagombea wa CCM kwa Urais (66%), Ubunge (60%) na Udiwani (60%). Takwimu hizi zinatoa picha kwamba CCM inaungwa mkono, kama ilivyokuwa mwaka 2012.
Chadema ni chama cha pili kinachopendwa kushinda vyama vingine vya...

 

11 years ago

GPL

UKAWA WAWACHANGANYA WANANCHI

Wajumbe wa umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. KITENDO cha wajumbe wa umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutoka nje ya ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, kimewachanganya sana wananchi, kwani sasa hawajui hatima ya mjadala huo.
Wajumbe hao walitoka juzi mara tu baada ya hoja ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kwa kile kilichoelezwa kuwa ni
...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa kuhamasisha wananchi wasipige kura ya maoni Katiba mpya

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimetangaza rasmi kutoshiriki katika mchakato wa kura ya maoni ya katiba na kwamba kuanzia sasa vitahamasisha wananchi kuunga mkono.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani