Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheikh Hamza Mansoor KHUTBA YA IJUMAA MADA KIBRI KIBURI By Ahmed Ahlusu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

KAMA DAWA YA KIBURI NI JEURI BASI HII NI ZAIDI YA KIBURI

Baada ya kugundua kuwa ujenzi wa nyumba hii iliyopo Bomang'ombe mkoani Kilimanjaro umeingia kwenye kiwanja chake ,mmiliki wa eneo hilo aliamua kujenga ukuta kuzunguka kiwanja chake na alivyofika katika nyumba hii alipitisha ukuta wake mlangoni.

Ukuta ukapita sebuleni mwa nyumba hiyo na kutokea nyuma ya nyumba.Na Hii ndio waswahili wanasema dawa ya Kiburi Jeuri.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

 

10 years ago

Vijimambo

True story of Ahmed Albaity..Lets all help ahmed with whatever we can

True story of Ahmed Albaity..Lets all help ahmed with whatever we can...Lets all open our heart and help each other...lets all remind ourself that anything at anytym can happen to us. We dont know who will come and help us..Lets make dua for Ahmed and pray to ALLAH (swt) for Ahmed to get better soon Inshallah

 

10 years ago

Michuzi

Sheikh Muhammad Eid (Abu Eid) kuzungumza na Waumin Kiislam Coventry,UK ijumaa hii

ASSALAM ALAIKUM WARAHMATUL LWAHI WABARAKAATUH
Coventry Muslim Swahili Association (COMSWA) inayo furaha kuwatangazia kuwa Sheikh mwenye ushawishi mkubwa Tanzania na nje ya Tanzania, Sheikh Muhammad Eid (Abu Eid) yuko nchini Uingereza (United Kingdom) katika ziara ya kida’wa.
Siku ya Ijumaa 13/02/2015 atazungumza na Waumin baada ya swala ya Al jumaa kenye ukumbi wa Al madrasatul Munawarah mjini Coventry kwenye Anuani 88 Paynes Lane, Coventry, CV1 5LJ, UNITED KINGDOM.
Jumamosi tarehe 14/02/2015...

 

11 years ago

TheCitizen

Isles’ Mansoor decamps to CUF

A former minister in the Zanzibar government, Mr Mansoor Yussuf Himid (pictured), yesterday announced he was decamping to the opposition party- Civic United Front (CUF).

 

10 years ago

TheCitizen

CUF holds talks with Mansoor

Leaders of the opposition Civic United Front (CUF) have held secret talks with former Zanzibar cabinet minister Mansoor Yusuf Himid who is out on bail after being remanded over charges of illegal possession of firearms and bullets.

 

10 years ago

Mwananchi

Mansoor: Gomeeni kura ya maoni

Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Mansoor Yusuph Himid amesema, Rasimu ya Katiba iliyopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba ni sawa na bidhaa mbovu sokoni na kuwataka wananchi wa Zanzibar kugomea kura ya maoni itakayofanyika mwakani.

 

10 years ago

Michuzi

SHEIKH MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO SHEIKH ABDULKADIR MOHAMED RAMIYA ATOA TAMKO LEO

Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Sheikh Abdulkadir Mohamed Ramiya akiongea na mwandishi wa Azam TV Bw. Octaviana baada ya kutoa tamko lake (hapo juu) leo mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani