Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheikha, Mkenya anayefanya muziki Qatar arejea tena na Bahati (Video)

RAM_8673 (1)

Mara ya mwisho tulizungumza na Sheikha takriban miaka miwili iliyopita alipoachia wimbo wake uitwao Mali Mbele aliomshirikisha Meja.

RAM_8673 (1)

Na sasa msanii huyo Mkenya aishie nchini Qatar, amerejea na wimbo mwingine uitwao Bahati ambapo ndani ya video hiyo anaonekana muogizaji wa Bongo Movie, Cheki Budi.

“Nilipo fanya Mali Mbele nilikuwa na nafasi ya kwenda Nairobi Kenya nchini kwetu kwenda recording kwa vile hapakuwa na studio hapa nchini nilipo Qatar. Ila kazi ikawa nyingi hapa Qatar sikuweza...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

YVONE SANGUDI:MTANZANIA ANAYEFANYA MUZIKI MAREKANI

Yvone Sangudi ni Mtanzania anayefanya muziki nchini Marekani,msanii huyo ametua Bongo juzi akitokea Hollywood Marekani,yeye ni msukuma wazazi wake wote wanaasili ya mkoani Mwanza,amezaliwa nchini Liberia amekulia huko Boston,Marekani na mwezi wa tano aliachia ngoma inayoitwa ‘Tanzanite’.Ngoma ambayo inaendelea kufanya vizuri kwenye chati za itunes kipengele cha Pop lakini alikuwa featured kwenye magazine kubwa nchini Marekani kama the next song stress.

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda akutana na kiongozi wa kampuni ya gesi ya Qatar na kutembelea eneo la ujenzi wa bandari mpya ya Qatar.

PG4A5517

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw.  Otty Msuku  ambaye ni Mtanzania ,  Mtalaamu wa upimaji ardhi katika mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar  wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa bandari hiyo akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 22, 2014. Katikati ni Mkurugenzi mwendeshaji wa Mradi huo, Don Morrison. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A5521

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikaribishwa na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mradi wa ujenzi wa bandari mpya ya Qatar, Bw. Yusuf...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Denno & Bahati – Story Yangu

Screen-Shot-2015-12-08-at-11.03.05-AM

Video mpya ya wasanii Denno na Bahati kutoka Kenya wimbo unaitwa “Story Yangu”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

BBCSwahili

Qatar 2022: Qatar yapinga madai ya Amnesty

Qatar imepinga madai ya Amnesty International kuwa inawadhulumu wafanyikazi wanaojenga viwanja

 

10 years ago

Michuzi

DJ JD na DJ FAST EDDIE WAFANIKIWA KUREJESHA MUZIKI WA DISKO KILELENI TENA

 DJ JD akiwa kazini katika ukumbi wa Isumba Lounge jijini Dar es salaam usuiku wa kuamkia leo. Yeye na DJ Fast Eddie wameweza kurejesha utamu wa wapenzi wa muziki kwenda disco kwa wingi kama ilivyokuwa enzi hizo. Hapo Isumba ni mambo ya Old Skul na Mayenu kwa kwenda mbele kila Ijumaa na Jumamosi ambapo vijana wa zamani na wapya huruka majoka hadi lyamba.

 

11 years ago

Michuzi

FURSA: MAFUNZO YA KUPIGA ALA ZA MUZIKI KUANZA TENA MWEZI MEI

Action Music Tanzania (AMTz) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza tarehe 3/5/2014, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wanamuziki wa kupiga ala na kufanya maonesho kwa weledi na utaalamu zaidi.
Mafunzo yanayotolewa ni pamoja na upigaji wa ala za muziki zikiwemo gita, kinanda, tarumbeta, saxophone, konga, drum set, na upigaji wa ngoma za asili. Pia yatatolewa mafunzo ya ‘body percussion’ yaani matumizi ya mwili katika kutengeneza midundo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani