YVONE SANGUDI:MTANZANIA ANAYEFANYA MUZIKI MAREKANI
Yvone Sangudi ni Mtanzania anayefanya muziki nchini Marekani,msanii huyo ametua Bongo juzi akitokea Hollywood Marekani,yeye ni msukuma wazazi wake wote wanaasili ya mkoani Mwanza,amezaliwa nchini Liberia amekulia huko Boston,Marekani na mwezi wa tano aliachia ngoma inayoitwa ‘Tanzanite’.
Ngoma ambayo inaendelea kufanya vizuri kwenye chati za itunes kipengele cha Pop lakini alikuwa featured kwenye magazine kubwa nchini Marekani kama the next song stress.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Jan
Sheikha, Mkenya anayefanya muziki Qatar arejea tena na Bahati (Video)
![RAM_8673 (1)](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/RAM_8673-1-300x194.jpg)
Mara ya mwisho tulizungumza na Sheikha takriban miaka miwili iliyopita alipoachia wimbo wake uitwao Mali Mbele aliomshirikisha Meja.
Na sasa msanii huyo Mkenya aishie nchini Qatar, amerejea na wimbo mwingine uitwao Bahati ambapo ndani ya video hiyo anaonekana muogizaji wa Bongo Movie, Cheki Budi.
“Nilipo fanya Mali Mbele nilikuwa na nafasi ya kwenda Nairobi Kenya nchini kwetu kwenda recording kwa vile hapakuwa na studio hapa nchini nilipo Qatar. Ila kazi ikawa nyingi hapa Qatar sikuweza...
9 years ago
Michuzi09 Nov
PROMOTER MTANZANIA ANAYEISHI MAREKANI ASHINDA TUZO YA "BEST PROMOTER" MAREKANI
![](http://api.ning.com/files/RU-BxEuC-r5L49t1VgougKPalqMvqcRhN9mocdYJa4EkUFsm57mrH1Z8sarzMH5jz8AJmtylo3kEuxVFeUY-pN-1jCQToN6c/IMG20151101WA0008.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/RU-BxEuC-r6IbrDtM0FUEHTOoGaDtfqbWtSY4zjE2aJXYK5IuaX6KGyQ7ubPFdA7iibyTJTBN9oZpTjGQCL3YpW4-FXZlJGx/IMG20151101WA0008.jpg?width=650)
...
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
Exclusive: Mtanzania DABO ametajwa kuwania tuzo za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (IRAWMA)
Unaweza kuwa humfahamu kwa vile hana kelele nyingi….TUONYESHE UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASA
Msanii bora wa muziki wa Reggae Tanzania, DABO (Pichani) amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa kabisa za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (International Reggae and World Music Awards (IRAWMA).
DABO anawania tuzo hizi katika kipengele cha Mtumbuizaji Mpya Bora, akikabiliwa na ushindani kutoka kwa wasanii MC...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JUfAkZuxykw/UzPUoT4AmyI/AAAAAAAA8jk/rcMHt1N9XaU/s72-c/IMG-20140327-WA0002.jpg)
MTANZANIA AFARIKI MAREKANI, NDUGU WA MAREHEMU WATAKIWA KUJITOKEZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-JUfAkZuxykw/UzPUoT4AmyI/AAAAAAAA8jk/rcMHt1N9XaU/s1600/IMG-20140327-WA0002.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/_YSzKYAQsXo/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo19 Nov
KUNA MTANZANIA MWENZETU ANAHITAJI MSAADA MINNESOTA NCHINI MAREKANI
Arusha mjini I C U kwa wiki kama tatu hivi hatimaye alihamishwa Nairobi Hospital Kenya kwa Helicoptor tarehe 29 September
2014 na kufariki tarehe 19 October, 2014. na siku hiyo hiyo ya tarehe 19 October 2014 Apt ya Sebastian at 610S 8th st Apt 310,
Minneapolis, Mn 55404 iliteketea moto na binti yake aitwaye Joyce S Malle aliungua vibaya na kulazwa Hospitalini kule...
10 years ago
Bongo Movies16 Dec
PICHA:Wastara Aongoza Mapokezi ya Timoth, Mtanzania Alieshinda Tuzo Huko Marekani
Timoth Conrad Kachumia ambae ni mtayarishaji wa filamu na mkurugenzi wa kampuni Timamu Afriacan Media, amewasili leo mchana akitokea nchini Marekani ambapo hivi karibuni alishinda tuzo za kimataifa za Future Africa Awards.
Muigizaji Wastara Juma nimiongoni mwa watu aliofika uwaja wa ndege kimataifa wa JK nyerere kumpokea.
Baada ya mapokezi hayo walielekea kwenye ofisi za basata mabako Timoth alipata nafasi ya kuzungumza na wandishi wa habari.
Jionee baadhi ya picha za mapokezi hayo hapo...
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Muziki wa Afrika kuchezwa Marekani leo
ZIARA ya muziki ya mwimbaji wa Afro Pop kutoka Marekani, Wicks Davis ‘Antique’ nchini Marekani inatarajiwa kuonyesha ubora na vionjo vya muziki wa Afrika aliouandaa baada ya ziara yake ya kimataifa za kimuziki katika nchi hizo.
“Katika ziara yangu hiyo ya ‘The Remember Tour’ nitakuwa nikipiga muziki nilioutengeneza kutokana na ubora na vionjo vya muziki wa Afrika,’’ alisema Antique, alipozungumza na Mtanzania akitokea Marekani.
Onyesho la kwanza linafanyika leo katika ukumbi wa makumbusho...