Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muziki wa Afrika kuchezwa Marekani leo

AntiqueZIARA ya muziki ya mwimbaji wa Afro Pop kutoka Marekani, Wicks Davis ‘Antique’ nchini Marekani inatarajiwa kuonyesha ubora na vionjo vya muziki wa Afrika aliouandaa baada ya ziara yake ya kimataifa za kimuziki katika nchi hizo.

“Katika ziara yangu hiyo ya ‘The Remember Tour’ nitakuwa nikipiga muziki nilioutengeneza kutokana na ubora na vionjo vya muziki wa Afrika,’’ alisema Antique, alipozungumza na Mtanzania akitokea Marekani.

Onyesho la kwanza linafanyika leo katika ukumbi wa makumbusho...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak Obama Julai 5, 2014. Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC  leo Julai 6, 2014.  Sehemu ya wajumbe wa Mkutano wa Viongozi wa Afrika...

 

10 years ago

Bongo5

Touch Me ya AY yapata ‘green light’ kuchezwa Jamaica, Marekani soon

AY amesema wimbo wake Touch Me aliomshirikisha Sean Kingston unaendelea kufanya vizuri Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla na hivi karibuni utaanza kuchezwa Jamaica. AY ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo amepata rotation inayostahili na anaamini utaendelea kufanya vizuri zaidi. “Wimbo unapata rotation kubwa sana. Umeingia kwenye chart kubwa mbalimbali,” amesema AY. “Unajua watu wangesema huu […]

 

10 years ago

Bongo5

Mechi ya kwanza ya NBA kuwahi kuchezwa Afrika kufanyika Aug. 1 Johannesburg

Mechi ya kwanza ya NBA itachezwa barani Afrika kwa mara ya kwanza August 1 jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Mechi hiyo itawakutanisha wachezaji wa NBA waliozaliwa Afrika, Team Africa dhidi ya wengine wa Team World. Mchezaji anayechezea Miami Heat, Luol Deng aliyezaliwa Sudan ataiongoza Team Africa. “Ninajivunia sana kuwa sehemu ya mechi ya kwanza ya NBA […]

 

11 years ago

CloudsFM

YVONE SANGUDI:MTANZANIA ANAYEFANYA MUZIKI MAREKANI

Yvone Sangudi ni Mtanzania anayefanya muziki nchini Marekani,msanii huyo ametua Bongo juzi akitokea Hollywood Marekani,yeye ni msukuma wazazi wake wote wanaasili ya mkoani Mwanza,amezaliwa nchini Liberia amekulia huko Boston,Marekani na mwezi wa tano aliachia ngoma inayoitwa ‘Tanzanite’.Ngoma ambayo inaendelea kufanya vizuri kwenye chati za itunes kipengele cha Pop lakini alikuwa featured kwenye magazine kubwa nchini Marekani kama the next song stress.

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AJIUNGA NA VIONGOZI WENGINE WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA AFRIKA NA MAREKANI JIJINI WASHINGTON DC

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Ikulu ya Marekani (White House) jijini Washington DC kwa dhifa ya Kitaifa waliyoandaliwa viongozi wa Afrika na mwenyeji wao Rais Barak O bama.  Rais Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Afrika katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani  ambao umefunguliwa na Rais Barak Obama katika ukumbi wa State Department jijini Washington DC.… ...

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Wadau wa muziki kutoka Marekani wawapa semina wenzao wa Tanzania

Wadau wakubwa wa muziki kutoka Marekani Terrance J, Ravi Shelton, Chaka Zulu na David Banner July 14 214 kwa pamoja wameendesha semina ya majadiliano ya namna ya ku market, ku promote ku ji brand na kujiuza. Semina hiyo ambayo kwa leo ilikuwa ni siku ya kwanza imehusisha wadau mbali mbali wa fani za sanaa nchini […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Picha bora za Afrika wiki hii: Muziki, ukame na mitindo

Baadhi ya picha zilizopigwa wiki hii katika maeneo mbalimbali ya Afrika

 

10 years ago

Bongo5

Sporah kuhost tuzo za muziki wa injili Afrika, AGMA 2014

Mtangazaji wa TV, Sporah Njau pamoja na muimbaji maarufu wa nyimbo za injili kutoka Ghana Mr Sonnie Badu, watakuwa waendesha shughuli ‘hosts’ kwenye tuzo za muziki wa injili Afrika, AGMA 2014 (Africa Gospel Music Awards). Tuzo hizo zitafanyika August 24 jijini London, Uingereza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani