Picha: Wadau wa muziki kutoka Marekani wawapa semina wenzao wa Tanzania
Wadau wakubwa wa muziki kutoka Marekani Terrance J, Ravi Shelton, Chaka Zulu na David Banner July 14 214 kwa pamoja wameendesha semina ya majadiliano ya namna ya ku market, ku promote ku ji brand na kujiuza. Semina hiyo ambayo kwa leo ilikuwa ni siku ya kwanza imehusisha wadau mbali mbali wa fani za sanaa nchini […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo517 Oct
Picha: Wadau wa muziki wapata msasa kutoka kwa meneja wa T.I, Jason Geter
Wadau mbalimbali wa muziki nchini leo wamepata fursa ya kusikia mawaidha kutoka kwa maneja wa msanii wa muziki kutoka Marekani, T.I., Jason Geter na kuzungumza na wadau wa muziki mbinu mbalimbali ili kuuinua muziki wa Tanzania. Meneja wa T.I. Jason Geter akizungumza na wadau wa muziki Dar Semina hiyo iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali wa muziki […]
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JVypfWRIQXA/VEDpqAKw93I/AAAAAAAGrMA/I-_qNTbfTsM/s72-c/7.jpg)
Uongozi wa msanii T.I washiriki semina ya fursa Ndogo ya wasanii na wadau wa muziki ndani ya ukumbi wa Little Theather ,jijini Dar
![](http://3.bp.blogspot.com/-JVypfWRIQXA/VEDpqAKw93I/AAAAAAAGrMA/I-_qNTbfTsM/s1600/7.jpg)
10 years ago
Vijimambo19 Oct
SEMINA YA MANAGER WA T.I NA WADAU WA MUSIC TANZANIA.
![](http://api.ning.com/files/NfZBQ8g66NR9gIhQohtp8wW*olMdNJMmex9EhNv1mu1lxWTfiumWCuVieFB*kTzaluLZrFaU-Vxc5Vdt9TMaUy6zB6cab9qE/5.jpg)
![](http://api.ning.com/files/NfZBQ8g66NT3HsCl4ddbDT7Ystj5cWUlCwqV-RFEylvjRGFNMfCeIuBdrzqZUd-fA*J*IB5i8G22Dvyq4Yr3ob6goPazFSTD/1.jpg)
![](http://api.ning.com/files/NfZBQ8g66NQaImHr3cctlO7rcDhefS7LisRiXyIiOpzN*j1vImrjXe7Yf2W9f4SiXpwXA1mw9lr8-43YMuIiKw4ZuAu60I3X/2.jpg)
![](http://api.ning.com/files/NfZBQ8g66NRfe2qqwDa8JTWsCmhDkGUOp3UbmYMa6z3rsVgPKomRkYx3*DYBKjsQ*cFCvuTpqwhJ2DSgW03cxXvoJ4vSL8sx/3.jpg)
![](http://api.ning.com/files/NfZBQ8g66NRf9x4SFMiGJiXqZbf7i6vqLXiheEjOW6gauBml1k-OYGIiKvc8bLh9OYs5QTdoXvzD0dmIhWCHKZEjxa0KHcNd/6witty.jpg)
10 years ago
Michuzi01 Nov
SEMINA YA FURSA YA UWEKEZAJI "DOING BUSINESS IN TANZANIA" YAFANYIKA LANDOVER, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboSEMINA YA FULSA YA UWEKEZAJI "DOING BUSINESS IN TANZANIA" YAFANYIKA LANDOVER, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-j5yKMn1lWzU/VB3it_h-O9I/AAAAAAAGkxs/2xKd8S5UNN8/s72-c/acf88e3f9a75eee589679416232df2b9.jpg)
Wadau wa Tanzania wakutana na Oprah winfrey nchini Marekani
![](http://1.bp.blogspot.com/-j5yKMn1lWzU/VB3it_h-O9I/AAAAAAAGkxs/2xKd8S5UNN8/s1600/acf88e3f9a75eee589679416232df2b9.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wb2q2SvaVDA/U3pAsNTP-3I/AAAAAAAFjuo/bqX836bPgvs/s72-c/unnamed+(27).jpg)
WADAU WA BANDARI NA RELI KUTOKA TANZANIA WAANZA ZIARA YA MAFUNZO UBELGIJI
![](http://4.bp.blogspot.com/-wb2q2SvaVDA/U3pAsNTP-3I/AAAAAAAFjuo/bqX836bPgvs/s1600/unnamed+(27).jpg)
10 years ago
GPLSEMINA YA FULSA YA UWEKEZAJI "DOING BUSINESS IN TANZANIA" YAFANYIKA LANDOVER, MARYLAND NCHINI MAREKANI
Kushoto ni Dkt. Frank Forka ambaye ni mkurugenzi PGCEDC Africa Trade Office akielezea njia za kufuata kwa mwekezaji kutoka Tanzania anapokuja kutafuta au kufanya mazungumuzo na wawekezaji wa Kimarekani kwa ajili ya kuingia nao ubia kwa ajili ya kuwekeza Tanzania. Dkt. Frank Furka alisema jambo la kwanza muhimu ni kujifunza utamaduni wa wafanyabishara wa Kimarekani hasa inapokuja kwenye swala la muda, Mambo mengine ya kuzingatia...
10 years ago
Bongo520 Sep
Picha: Cassim Mganga atoa burudani ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Msanii wa muziki nchini Cassim Mganga ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani amepata nafasi ya kutoa burudani ndani ya ubalozi ya Tanzania nchini Marekani huku waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyalandu pamoja na balozi wa Tanzania, Bi Ribelata Mulamula wakihudhuria. Waziri Nyalandu (kulia)Kassim Mganga (katikati) pamoja na balozi wa Tanzania Marekani mama Ribelata Mulamula […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania