Shein akerwa na migogoro katika soka
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema migogoro iliyoibuka Zanzibar ndani ya Chama cha Soka cha Zanzibar (ZFA), inachangia kurudisha nyuma maendeleo ya soka na kuwataka viongozi kujitathmini wanapoelekea kwa manufaa ya Zanzibar na wanamichezo yake.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
REDIO ZA JAMII NCHINI ZIMETAKIWA KUWA MAKINI NA UANDAAJI WA VIPINDI PAMOJA NA HABARI, KATIKA KUEPUSHA UIBUAJI WA MIGOGORO KATIKA JAMII ZINAZOWAZUNGUKA
11 years ago
Mwananchi29 Aug
‘Migogoro ya kisiasa kikwazo katika uwekezaji’
11 years ago
Mwananchi26 Aug
Migogoro, falsafa katika tamthiliya ya Orodha
10 years ago
Vijimambo
UN. TAASISI IMARA KATIKA UTATUZI WA MIGOGORO


10 years ago
StarTV22 Sep
DNA yadaiwa kuepusha migogoro katika mahusiano:
Kukiwa kumekidhiri kwa migogoro mingi miongoni mwa wanafamilia kutokana na utambuzi wa watoto Jamii imetakiwa kujijengea mazoea ya kupima vinasaba ili kuondoa tatizo la migogoro ya familia inayojitokeza katika utambuzi wa mahusiano ya vinasaba kati ya watoto na wazazi.
Sehemu kubwa ya wanajamii wanadaiwa kujijengea mazoea ya kupima vinasaba pale wanapokuwa hawana uhakika na uhalali wa baadhi ya watoto katika ndoa zao.
Mkemia Mkuu wa Serikali na Mkuu wa kitengo cha DNA Segumba amesema...
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
Umoja wa Mataifa ni taasisi imara katika utatuzi wa migogoro

Kutoka kushoto ni Reginald Munisi, Mwenyekiti, United Nations Association of Tazania, Mr. Alvaro Rodriguez, Mratibu Mkazi, Umoja wa Mataifa Tanzania, Balozi Dk. Augustine Mahiga, Balozi Mstaafu wa Tazania Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wakiwa katika Maadhimisho ya Miaka 50 Taasisi ya Umoja wa Matifa (UNA) pamoja na maadhimisho ya miaka 70 ya umoja wa Mataifa (UN) yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Reginald Munisi, Mwenyekiti wa UNA Tanzania akitoa maneno ya ufunguzi katika mkutano...
9 years ago
StarTV04 Jan
 Wataalam wa ardhi watakiwa kuwa makini katika upimaji ili Kuepuka Migogoro
Wataalam wa ardhi katika Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya wametakiwa kuwa makini wakati wa utekelezaji wa kazi ya upimaji wa viwanja vya makazi na mji wa halmashauri hiyo ili kuepuka migogoro ya ardhi isiyo ya lazima na wananchi.
Tahadhari hiyo imetolewa na Kamishna wa Ardhi kanda ya kaskazini Suma Tumpale kutokana nia taarifa ya wataalamu wa Ardhi wa Halmashauri hiyo kueleza kuwepo kwa mgomo wa baadhi ya wananchi wanaopinga uendeshwaji wa zoezi hilo katika maeneo yao.
Halmashauri ya...
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Wakazi wa Dar waridhishwa na utendaji wa Waziri Lukuvi katika kutatua migogoro ya ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake waliotaka kujua jinsi alivyoshughulikia migogoro ya Ardhi nchini.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amekutana na wananchi wa Dar es salaam wenye Migogoro ya Ardhi na kufanikiwa kupokea Malalamiko yao Katika mkutano wa siku mbili wa tarehe 22 na 23, Septemba, 2015 katika Makao Makuu ya Wizara ya Ardhi. Wananchi wengi waliofika katika mkutano huo...