Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein: SUZA endeleeni kufanya utafiti

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, amekitaka Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (Suza), kuendelea kufanya utafiti kwa kuzingatia mahitaji yaliyopo na kuhakikisha matokeo ya utafiti, yanasambazwa kwa taasisi na sekta zinazohusika ili yatumike katika mipango ya maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Dr. Shein inaugurates new SUZA campus in Pemba

Uzinduzi - i

Hon. Dr Ali Mohamed Shein, the President of Zanzibar and Chairman of the Revolutionary Council also the SUZA Chancellor cuts the ribbon to officially inaugurate the campus.

Uzinduzi -ii

Hon. Dr. Shein opens the curtains to display the inauguration plaque.

Uzinduzi - iii

Hon. Dr. Shein in a group photo with some Zanzibar government leaders during the                                                             inauguration.                                                                     

Uzinduzi - iv

One of the buildings of...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dk Shein azindua Tawi la SUZA Pemba ‘Kampasi ya Ben Mkapa’

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein akikata utepe ishara ya ufunguzi wa Tawi la Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), kilichoko Mchangamdogo, Pemba. *Asema ni hatua kubwa katika kuendeleza elimu ya juu kisiwani Pemba* Rajab Mkasaba […]

The post Dk Shein azindua Tawi la SUZA Pemba ‘Kampasi ya Ben Mkapa’ appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

Dk Shein azindua tawi la Chuo kikuu cha Taifa SUZA Mchangamdogo Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa SUZA katika Chuo cha Benjamin Willium Mkapa Mchanga mdogo kaskazini Pemba leo,(kulia)Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein na (kushoto) Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna,[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Said Mohamed Seif wakati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utafiti muhimu kabla ya kufanya biashara

WATU wengi hufikiri kwamba mtaji ni kigezo pekee cha kuanzisha biashara na kutoona umuhimu wa kufanya utafiti. Kutokana na hali hiyo, hujikuta biashara zao zikishindwa kuhimili ushindani kwa kuanguka au...

 

5 years ago

Michuzi

DK.SHEIN ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA HOSPITALI NA KITUO CHA UTAFITI TUNGUU



 RAIS wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akiangalia ramani ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa inayotarajiwa kujengwa Binguni  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja  wakati alipotembelea Eneo maalum la ujenzi huo leo akiwa katika ziara maalum ya kikazi (kulia) Injinia wa Ujenzi Ramadhan China na...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Ndugulile aiagiza NIMR kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa Corona

WAMJW- Dar es Salaam.         WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa Corona (Covid-19) kwa kuwa kuna tofauti kubwa ya dalili zilizojitokeza kwa wagonjwa hapa nchini ukilinganisha na wagonjwa waliopo nje ya  nchi.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile wakati alipokutana na watafiti wa taasisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani