Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Ndugulile aiagiza NIMR kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa Corona

WAMJW- Dar es Salaam.         WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa Corona (Covid-19) kwa kuwa kuna tofauti kubwa ya dalili zilizojitokeza kwa wagonjwa hapa nchini ukilinganisha na wagonjwa waliopo nje ya  nchi.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile wakati alipokutana na watafiti wa taasisi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TANZANIA NI SALAMA HAKUNA UGONJWA WA CORONA -DKT NDUGULILE


Na Englibert Kayombo, WAMJW, Arusha.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewahakikisha Watanzania kuwa nchi bado iko salama na hakuna mgonwjwa yeyote mwenye ugonjwa wa Virusi vya Corona.

Dkt Ndugulile ametoa kauli hiyo akiwa Jijini arusha katika Ziara zake za kikazi ambapo waandishi wa habari walimuuliza juu ya tetesi za uwepo wa ugonjwa huo nchini, pamoja na kutaka kufahamu ukweli wa taarifa za mtu anayedai kuwa na dawa za ugonjwa huo....

 

5 years ago

Michuzi

ENDELEENI KUTOA ELIMU YA UGONJWA WA CORONA KWA WANANCHI – DKT.NDUGULILE




Muonekano wa chumba atakacholazwa mgonjwa wa Corona endapo atatokea, kilichopo katika jengo lililotengwa kwaajili ya wagonjwa hao katika kituo cha Afya Mkonze Jijini Dodoma,
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiongea na Wataalamu wa Sekta ya Afya ngazi ya Mkoa katika ofisi za mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akisisitiza jambo wakati akiongea na Wataalamu wa...

 

5 years ago

Michuzi

Dawa ya Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) yatoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa corona


DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona. 

Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la 28 la mwaka la Wanasayansi la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR)

1

 Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akizindua rasmi Kongamano la 28 la Mwaka la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR). Kongamano hilo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, limeandaliwa na Taasisi hiyo ya (NIMR). (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua pazia kuashiria kuzindua rasmi Kongamano la 28 la Mwaka la Taasisi ya Taifa...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT NDUGULILE ATOA UFAFANUZI KUHUSU BARAKOA NA MATUMIZI YAKE

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile


NA DK FAUSTINE NDUGULILE

Kuna clip inazunguka mitandaoni nikiongelea kuhusu barakoa za kitambaa. Napenda kutoa ufafanuzi ufuatavyo:

1. Barakoa za N95 zinapaswa kutumika na watoa huduma wa afya wanaohudumia wagonjwa wa Covid-19. Barakoa hizi hazipaswi kuvaliwa mitaani, majumbani wala maofisini.

2. Barakoa za upasuaji (surgical masks) hizi zinapaswa kuvaliwa na watumishi wa afya ambao hawana direct contact na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Magufuli awakemea wanaopotosha jamii kuhusu ugonjwa wa corona

Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekemea tabia ya watu kufanya mzaha na kutisha wengine kupitia mitandao ya kijamii juu ya ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19).

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Maswali yako kuhusu ugonjwa wa corona yanajibiwa

Kuna utofauti gani kati ya mafua na corona? Barakoa inasaidia? Ngono inaweza kusababisha maambukizi ya ucorona?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani