Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA NI SALAMA HAKUNA UGONJWA WA CORONA -DKT NDUGULILE


Na Englibert Kayombo, WAMJW, Arusha.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewahakikisha Watanzania kuwa nchi bado iko salama na hakuna mgonwjwa yeyote mwenye ugonjwa wa Virusi vya Corona.

Dkt Ndugulile ametoa kauli hiyo akiwa Jijini arusha katika Ziara zake za kikazi ambapo waandishi wa habari walimuuliza juu ya tetesi za uwepo wa ugonjwa huo nchini, pamoja na kutaka kufahamu ukweli wa taarifa za mtu anayedai kuwa na dawa za ugonjwa huo....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

TANZANIA IPO SALAMA HAKUNA UGONJWA WA CORONA

   Na Englibert Kayombo, WAMJW, Arusha.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewahakikisha Watanzania kuwa nchi bado iko salama na hakuna mgonwjwa yeyote mwenye ugonjwa wa Virusi vya Corona. 
Dkt Ndugulile ametoa kauli hiyo akiwa Jijini arusha katika Ziara zake za kikazi ambapo waandishi wa habari walimuuliza juu ya tetesi za uwepo wa ugonjwa huo nchini, pamoja na kutaka kufahamu ukweli wa taarifa za mtu anayedai kuwa na dawa za ugonjwa...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Ndugulile aiagiza NIMR kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa Corona

WAMJW- Dar es Salaam.         WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa Corona (Covid-19) kwa kuwa kuna tofauti kubwa ya dalili zilizojitokeza kwa wagonjwa hapa nchini ukilinganisha na wagonjwa waliopo nje ya  nchi.

Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile wakati alipokutana na watafiti wa taasisi...

 

5 years ago

Michuzi

ENDELEENI KUTOA ELIMU YA UGONJWA WA CORONA KWA WANANCHI – DKT.NDUGULILE




Muonekano wa chumba atakacholazwa mgonjwa wa Corona endapo atatokea, kilichopo katika jengo lililotengwa kwaajili ya wagonjwa hao katika kituo cha Afya Mkonze Jijini Dodoma,
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiongea na Wataalamu wa Sekta ya Afya ngazi ya Mkoa katika ofisi za mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akisisitiza jambo wakati akiongea na Wataalamu wa...

 

5 years ago

Michuzi

DKT. MPANGO ATAHADHARISHA WAFANYAKAZI KUJIKINGA NA CORONA NA KUTAKA IFANYIKE TATHIMINI YA ATHARI ZA UGONJWA HUO KIUCHUMI

Na. Farida Ramadhani na Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, amewaagiza Wataalamu wa Wizara hiyo kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuangalia madhara ya Corona yanayoweza kujitokeza katika uchumi wa nchi pamoja na namna ya kukabiliana nayo.
Agizo hilo amelitoa jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo kuhusu umuhimu wa kujikinga na Virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa hatari wa COVID-19.
“Nilikuwa naangalia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vy corona: Tanzania yasema hakuna haja ya kuwa na wasiwasi

Serikali ya Tanzania imekana madai kwamba taifa hilo linajikokota katika vita dhidi ya virusi vya corona

 

5 years ago

Michuzi

DKT NDUGULILE APIGA MARUFUKU MAOMBI YA DAWA KWA NJIA YA KARATASI


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (kulia) akikagua nyaraka ya dawa iliyoandikwa kwa karatasi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro ambapo amepiga marufuku na kuwataka kujaza maombi ya dawa kupitia fomu maalum.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiakikagua nyaraka ambayo imeandikwa kwa usahihi kwenye fomu maalum ya maombi ya dawa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani