Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein: Wakulima, wafugaji ongezeni juhudi

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, amewataka wakulima na wafugaji nchini kuongeza juhudi kwenye kilimo na ufugaji ili waongeze vipato vyao na kukuza uchumi wa taifa....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima ongezeni thamani ya mazao yenu

Unapozungumzia tabaka la watu maskini hapa Tanzania, bila shaka utaanza kutaja wakulima. Wale wadogo wamekuwa wakiishi maisha duni licha ya kuwa na mashamba makubwa, hali nzuri ya hewa na nguvu kazi ya kutosha

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chiza, wakulima Kagera wanahitaji juhudi zako

WAKATI  Rais Jakaya Kikwete akielekea kumaliza muda wake wa uongozi wananchi wamechachamaa kutokana na mambo kudorora katika serikali yake. Ikabidi chama tawala kiingilie kati na kufanya uchunguzi kuhusu hali hiyo,...

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA NA WAFUGAJI CCM

Na Joachim Mushi, Dodoma.MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu amesema Serikali itakayoundwa na chama hicho endapo itashika dola katika Uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2015 itahakikisha inapima ardhi yote ya vijiji pamoja na kuainisha mipaka ili kukomesha migogoro ya ardhi. 
 Bi. Suluhu ametoa kauli hiyo alipokuwa akinadi ilaya ya CCM katika Majimbo mawili tofauti ya Kongwa na Chilonwa Mkoa wa Dodoma ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kufanya kampeni...

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima, wafugaji wapigana Same

KUMEZUKA mapigano baina ya wafugaji na wakulima katika kijiji cha Jiungeni Lolokai, kata ya Ruvu wilayani Same na tayari wakulima wanne wamejeruhiwa vibaya na silaha za jadi, na mmoja kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC kwa matibabu zaidi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima, wafugaji waungana kumzomea RC

MKUU wa Mkoa (RC) wa Manyara, Erasto Mbwilo, juzi alijikuta katika wakati mgumu baada ya wakulima na wafugaji kumtuhumu kwa kukuza migogoro ya mauaji kati yao wilayani Kiteto. Mbali na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wakulima, wafugaji jiepusheni na rushwa’

SERIKALI imewataka wakulima na wafugaji kujiepusha na vitendo vya kuomba au kupokea rushwa katika utekelezaji wa shughuli zao za kila siku. Kupokea ama kutoa rushwa kunawafanya kuwepo mianya ya kuibiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkutano wa wakulima, wafugaji wavunjika

>Wakati Jeshi la Polisi likilazimika kufyatua mabomu ya machozi kuwatawanya watu, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Benedict Ole Nangoro, ametuhumiwa kuchochea mgogoro wa wakulima na wafugaji Wilayani Kiteto mkoani Manyara.

 

11 years ago

Habarileo

Wakulima, wafugaji Mvomero wapatana

SERIKALI ya Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro imefanikiwa kuwapatanisha wakulima na wafugaji wa vijiji vitano vilivyopo kata ya Hembeti vinavyo pakana na Bonde la Mgongola na imewataka wakulima wanaotoka nje ya wilaya hiyo kujisajili katika halmashauri za serikali za vijiji vinavyohusika na bonde hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani