SHEREHE YA UHURU CHICAGO
Watanzania waliojitokeza kwenye sherehe ya Uhuru miaka 53 siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 wakipata picha ya pamoja na Mhe. Liberata Mulamula Balozi wa Tanzania nchini Marekani ambaye ndiye aliyekua mgeni rasmi kwenye sherehe hizo. Mmoja ya Watanzania aliyehudhuria sherehe ya miaka 53 ya Uhuru akipata picha ya kumbukumbu na Mhe. Balozi Mulmula. Picha ya pamoja. Watanzania wa Chicago wakipata picha ya kumbukumbu na Mhe. Balozi Liberata Mulamula. Wakiwemo Watanzania kutoka Minnesota Afisa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Sherehe za Uhuru zaokoa mabilioni
9 years ago
Habarileo25 Nov
Usitishwaji sherehe uhuru wapongezwa
UTENDAJI wa Rais John Magufuli unaendelea kuwavutia watu wengi na hatua yake ya kufuta shamrashamra za sikukuu ya Uhuru, imepongezwa kuwa itaokoa fedha za walipa kodi, huku watendaji wa serikali wakianza kutekeleza agizo la kufanya usafi siku hiyo ili kukabiliana na kipindupindu.
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Magufuli afuta sherehe za Uhuru
*Asema zitaadhimishwa kwa wananchi kufanya usafi
*Akerwa na kipindupindu, wasomi wazungumzia uamuzi huo.
NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
RAIS Dk. John Magufuli, amefuta sherehe za Uhuru mwaka huu, na kusema Watanzania watasherehekea kwa kufanya usafi wa mazingira nchi nzima ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.
Agizo la Rais Magufuli, lilitangazwa Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipofanya ziara Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Ziara hiyo, ililenga...
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA UHURU DMV YAFANA
Katika sherehe hiyo iliyoratibiwa na maporomota wakubwa nchini Marekani Phanuel Ligate, Innocent Batamilwa na Dickson Mkama wakishirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani huku mgeni rasmi akiwa...
10 years ago
MichuziJK AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 40 ZA UHURU WA MSUMBIJI
Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi amkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete katika uwanja wa Michezo wa Michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji kuhudhuria sherehe za miaka 40 za Uhuru wa Msumbiji.Msumbiji ilipata uhuru wake tarehe25 June...
10 years ago
Michuzi13 Nov
SHEREHE ZA MIAKA 53 ZA UHURU WA TANZANIA -FINLAND
Hii itakuwa ziara yake ya kwanza nchini Finland. Karibu kushiriki nasi kwenye mijadala,chakula cha kitanzania,buradani.
Wageni mnaotoka nje ya Finland unaweza wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kuhusu malazi kabla ya November 30, 2014.
Maelezo zaidi ingia kwenye...
10 years ago
CloudsFM10 Dec
SHEREHE ZA UHURU ZILIVYOFANA UWANJA WA TAIFA
RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania katika kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, huku msisitizo katika sherehe hizo ukiwa ni kuwataka kutokubali kurubuniwa na kuharibu amani iliyopo na badala yake waidumishe na kujituma.
Pia baadhi ya viongozi walioshiriki maadhimisho hayo wamepongeza juhudi za Rais Kikwete katika kusimamia mchakato wa Katiba hadi kufikia hatua ya kupigiwa kura ya maoni, na kuwataka wananchi kujitokeza kuipigia kura Katiba hiyo Inayopendekezwa kwa kuwa inajali...
10 years ago
VijimamboDIAOMOND USIPIME ANOGESHA SHEREHE YA UHURU DMV
10 years ago
GPL